The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,938
- 4,964
- Thread starter
-
- #21
Weka hizo sms tuamini.Wakuu mie sio HB na sijipigii pande bali tabia zangu za upole na u charming zimenifanya nipate marafiki wengi wa jinsia tofauti, Those who raised The benefit of doubt kama najifagilia ningeweza weka s.shots humu za sma za tangu 2019 hadi sasa, ila naona uvivu
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hahaha kuna kengine kapo hapa class two 2 ✌[emoji28][emoji28][emoji28]sawa mkuu kama unakabinti kako nipigie pande kabisaa niwe mkweo.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]huyo ni mwanangu kabisa.Hahaha kuna kengine kapo hapa class two 2 [emoji111]
for ur case mkuu ngoja niweke, ila sio niweke uniambie hukutaka za mtindo huo.Weka hizo sms tuamini.
Tembea nazo, huyo S na hio nyingine ni mtu mbili tofauti.View attachment 1813508View attachment 1813509View attachment 1813510View attachment 1813511View attachment 1813512View attachment 1813513View attachment 1813514View attachment 1813515Weka hizo sms tuamini.
Umeona eenhh??!!. Huyu bado kinda.Ila inaonekana na kaumri kenu kanawaruhusu kufanya hayo mambo
Mimi nguvu hizo sina ningekua naminya kimia kimia halafu pia wala nisingeandika JF mambo ya kiumeni myajue
Basi unamoyona misimamo migumu sana kama wale wagiriki wa zamanihapana kaka sio SHOGA na sijawahi kufikiria kuwa hivyo. Karibu kutaka kujua zaid press 0[emoji16]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
mkuu unaweza kula shemeji yako kweli, mie siwezi kaka.Nilivyokuwa mtoto hizi hali zimewahi kunitokea Mara kadhaa, mwanzoni nilidhani ni kweli wananitafuta ili niwashauri kuhusu Jamaa zao. Baadaye nakuja kugundua kuwa lengo lao walitaka niwale, ila ilikuwa late tayari..
ni bivo tu kaka misimamo yangu tu.Basi unamoyona misimamo migumu sana kama wale wagiriki wa zamani
Ukikuwa utaweza, unless huyo mwanamke awe officially marriedmkuu unaweza kula shemeji yako kweli, mie siwezi kaka.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28] haina makombo sio, labda lakini sifikirii kula nje ya mpenzi wangu. Kila nkijaribu chepuka na feel guilty naachaUkikuwa utaweza, unless huyo mwanamke awe officially married
Anatakiwa huyo mpenzi wako akupige mtoso kisha utapata akili! Hata sisi kaka zako mwanzo tulihisi kuchepuka ni ukichaa flani ila kadri maisha yalivyotuonesha upande wa pili tulijikuta tumeunga tela tu sahii ni mwendo wa kuchapa tu![emoji28][emoji28][emoji28] haina makombo sio, labda lakini sifikirii kula nje ya mpenzi wangu. Kila nkijaribu chepuka na feel guilty naacha
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
mie bora uniache lakini sio niache huwa sipendi nije kulaumiwa badae.Anatakiwa huyo mpenzi wako akupige mtoso kisha utapata akili!
Haikuwa dhamira yangu, kuna wawili mpaka Leo ni Mashem darling pamoja na utu uzima huu..mkuu unaweza kula shemeji yako kweli, mie siwezi kaka.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
walijileta ukachapa sio au uliwala kimasiharaHaikuwa dhamira yangu, kuna wawili mpaka Leo ni Mashem darling pamoja na utu uzima huu..