fact only
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,578
- 2,335
😀😀 we kajamaa jau sana 😀😀.Poor fiction writer; i.e Misuse of puntuation marks, no paragraph e.t.c
😀😀 we kajamaa jau sana 😀😀.Poor fiction writer; i.e Misuse of puntuation marks, no paragraph e.t.c
Kwa hiyo Bora ateseke huku ana mtoto mdogo.Mwanaume unakuaje... chini ya kidada chenye dharau halafu unaona kawaida tu... jamaa yuko vizuri...
Wewe wasema... unayajua maumivu ya moyo madam... its very danger!Kwa hiyo Bora ateseke huku ana mtoto mdogo.
Angevumilia kidogo.
Mabadiliko yangetokea.
Labda yuko kwenye meditation...episode za dj mjukuu, mkuu bora upotee wiki nzima uandike kipande kirefu siyo hivi vipisi.
haiwezekani Reply zangu ni ndefu kuliko story yenyewe
hili nalo neno, tumuache kwanzaLabda yuko kwenye meditation...
Wanaume tunapitia shuruba nyingi sana, Mungu alituumba tuvunge tusiongee tu, right Kama tungekuwa na midomo mirefu ungejikuta wewe una afadhariWakuu hamjambo nyie madogo na wale wakubwa heshima yenu aisee....
Nikiwa nimemaliza degree yangu na matumaini kibao aisee haya maisha haya yamenifanya kuwa na nidhamu sana.
1. Mtiti ulianza home nilikuwa na chumba changu cha nje sjui kilitokea nn mzee one day ananitumia sms kwamba nikiwa natoka basi nikabidhi key kwa mama ( wa kambo ).
Ukweli nilikuwa natoka asubuhi narudi usku si kwamba nilikuwa naenda kuzurula hapana kutafuta hata kazi tu ya kujitolea .
Nilijibu ile sms kwa kumwambia mzee anipe wiki 1 nihame kabisa mi staki maneno maana maisha yashaanza kunichanganya. Hakujibu ila nilifanya hivyo akakatalia kitanda nikawaachia nikasepa zangu kuanza maisha enzi hizo goba bado sn nalala chini kwenye mkeka, asubuhi naamka natembea kwa mguu mpka posta aloooo.
Nilikuwa na demu wangu 1 akabeba mimba uzuri yeye alikuwa ameajiliwa ni mwalimu but naye alikuwa kichomi sana aisee, sasa kazi ikabaki kwangu nilikuwa natoka asubuhi sana home sjui naenda wapi sjui naenda kutafuta nn mfukoni sina hata 200 ya mihogo.
Natembea kwa mguu goba, mbezi luis, to kkoo to posta kisha narudi sina hali na hakuna wa kunionea huruma.
Sjui kula yangu wala kunywa yangu mwanamke hanielewi na wakati mwngne anasepa kaacha mtoto ndani sina hata 100 niliteseka sn, ajabu wenye maduka walikuwa wananiamini sn sjawahi enda dukani kukopa nikakosa lazma wanipe tu wengne nililipa wengne skulipa aloooo.
Kuna wakati nilitembea kwa mguu nikaenda tulia chini ya daraja fulani nkapitiwa usingzi aisee ile nashtuka nakuta nimezungukwa na ma kenge kama 50 hivi sjui ndo yalikuwa yanajipanga kunivamia nilikimbia hata sjui nilikiwa naelekea wapi 😴.
NILIAMUA KUFUNGUA BIASHARA YA KUCHOMA MAHINDI
Ila nyie mahindi yenyewe sjui kuchoma yakawa yanaungua tu mara mi siuzi wenzangu wanamaliza mi siuzi kbs nikaifunga skuwahi pata faida yoyote ile zaidi ya hasara huku namuwazia mwanangu home maana mwanamke haelewi.
Taendelea....
Kweli... unaweza ukaanza kumshukuru MUNGU kwa changamoto zako, baada ya kuona za jirani ni ngumu zaidi....Wanaume tunapitia shuruba nyingi sana, Mungu alituumba tuvunge tusiongee tu, right Kama tungekuwa na midomo mirefu ungejikuta wewe una afadhari
asije akapitiwa na usingizi... mwendelezo ikawa jioni tena... maana hizi meditation kuhusu kusinzia ni kugusa tu! kama hujaweka alam ya kukushitua...hili nalo neno, tumuache kwanza
Wakati wakaka wengine nasikia kwny maisha magumu hata mdudu hasimami na mwanadada haipitiki...Ila, hivi kuanzisha family (ngono zembe) wakati hali ngumu hivyo inatokeaje hii Kiongozi?
Huyo binti hata kutaka kuondoka ni ugumu wa maisha tuu, msoto huu uwe mwenyewe, ukileta wategemezi inakuwa balaa mara mbili elfu.
Mkuu Kweli shida zinakupa upofu mpaka unamwambia mkeo ampleke mtoto kwa mzee wako(na mama yako wa kambo) ambao walikutimua kama mbwa koko? Ulitegemea huyo mtoto ataishije yani?NAENDELEA PARTY 10
Nilikuwa sku zingine nabaki home
Niliamua kuwa napokuwa home najichimbia ndani kimya kabisa si rahisi mtu kujua kama nipo ndani labda mtoto akirudi shule si mnajua tena watoto baba baba nyingi sana.
Hili la kubaki home sku moja moja kumbe yule mwanamke akikutana mashoga zake wanaonijua akawa anawaambia yule jamaa leo atanikoma haiwezekani abaki home ngoja nirudi ajabu akirudi hata hasemi kitu ukzngatia pia mi si muongeaji na hajui hata naptia nn.
Mkumbuke hapo unakuta sjala chochote tokea asubuhi nilichokuwa nafanya ni kuhakikisha mtoto akirudi akute chochote ndani basi ila mimi tajijua sasa.
Maneno nikawa naletewa mengi sana na watu anayosema mwanamke ninayeishi naye ilifikia hatu akawa ananiambia nanuka sana maana yake hata kulala naye tu kitandani stakiwi maana anadai nanuka nyie acheni tu.
Nikifikilia nayoptia na haya maneno makali ya mwanamke nilikuwa naishiwa power kbs.
Kuna jamaa yangu mmoja nilimaliza naye chuo alikuwa kapata kazi ya kusimamia kiwanda cha kufyatua tofari maeneo ya goba ingawa kulikuwa na kaumbali toka hapo nilipokuwa siku zngne nilikuwa naenda huko nashinda huko kiwandani wakati mwngne napiga tofari nikirudi home nimechakaa mwili hoi maumivu kila kona lengo nipate ka hela ka kununua chochote kwaajili ya mtoto na mimi pia.
Siku zilisonga sioni kesho yangu kabisa, kuna ndugu yangu mmoja alinitafuta kwamba kuna taasisi mpya imeanzishwa kwaiyo nimekuwekea nafasi utakuja mwanza mmmmh nikasema angalau nimeanza ona nuru sasa.
Siku kadhaa zilipita akasema nitafute passport kubwa niwe nayo, nichome manjano, nichome corona kisha documents zote nizi scan nimtumie nilichakarika hasa kupata 150,000 ya passport mpka nikapata nikatuma vitu vyote alivyosema. Ila msoto uko palepale hakuna ahueni.
Nikawa namsumbua yule ndugu hiyo kazi vp majibu yakawa ni subiri takwambia tu daaah mara mwezi, mara miezi mara mwaka ukaisha story ni zilezile tu. Nilimtafuta jamaa yangu mmoja ni pastor alikuwa kanda ya ziwa huko nikamwambia nataka nije huko kwani kuna mchongo nauskilizia mwanza hapo akasema njoo bahati nzuri naye alikuwa ananikubali sana nilisoma naye A level na chuo nilisoma naye kimoja.
Nikasaka nauli mpaka nikaipata safari ya kuondoka dsm ikaanza mwanamke nakumbuka nilimwambia mi naondoka hapa ila starudi tena hapa nikamshukuru kwa yote na nikaondoka to kanda ya ziwa. Huku nyuma sasa yule mwanamke alikuwa akituma sms za kunitukana sn na kunikejeli madai yake ni hela ya mtoto daaaah kila nikijitetea lakini wp at last nilimwambia ampeleke home kwa mzee tarudi kumchukua hapo akagoma labda kama nataka chukua mtoto mpk nimuue kwanza yeye ndo nichukue mtoto.
Niliamua kubadili namba ya simu ili kuepuka maneno makali aliyokuwa akinitumia, nikiwa nipo kanda ya ziwa na jamaa yangu nili relax kdg akili ilifunguka sn na mwili ulirudi angalau nikawa mtu sasa.
TAENDELEA KUHUSU ILE KAZI YA NDUGU YANGU NI MAJANGA MATUPU...
We acha tu kuna matukio tawapa hapa khs huko kwa mzee ni noma sn raia hawa si ndugu si nani 🤔Mkuu Kweli shida zinakupa upofu mpaka unamwambia mkeo ampleke mtoto kwa mzee wako(na mama yako wa kambo) ambao walikutimua kama mbwa koko? Ulitegemea huyo mtoto ataishije yani?
Huyo mwanamke wako alikua alikua halipwi kwani?NAENDELEA
PART 5
NAPATA KAZI YA KUOSHA MAGARI MBEZI LUIS KABLA STEND HAIJAJENGWA.
Nimetoka zangu goba kwa mguu sjui naelekea wapi nikaenda mpaka mbezi luis nikashika ile njia ya kwenda kibaha nikiwa natembea hata sjui naenda kwa nani mara nikakuta jamaa mmoja anaosha madaladala njiani...
Nikampa hi kisha nikamwambia nataka kusaidia kazi japo nipate chochote, jamaa akanambia karibu kwa leo maana mwenzie hajaja kazini.
Kweli nikaanza kazi na sjawahi osha magari aisee nilipambana sana kufanya usafi ndani ya gari na nje ya gari pia kusugua gari itakate.
Nilipga kazi hatari sana nina njaa nina kiu hakuna wa kunionea huruma.
Makondakta na madereva wakawa wananipa nguo zao za kazi kuwafulia nikijua wananilipa chochote but hola nilifua niliosha magari mpka kwenye saa 12 jioni hivi jamaa akanipa elfu 5 tu ila nilishukuru sana aisee.
Nikatoka hapo nikaanza kupiga mguu kurudi home nikanunua juisi ya 500 na vitumbua vya 500 nikawa natafuna huku narudi zangu home na elfu 4 mfukoni kishujaaa.
Nilipofika home nakuta mwanamke kanuna nikampa ile elfu 4 nikamwambia bs kama kuna cha kumnunulia mtoto amnunulie ingawa walikuwa wameshakula maana si mnajua mwanamke yeye alikuwa kaajiliwa ni mwalimu wa secondary.
Kesho kumekucha nikasema wacha niende palepale kwenye kuosha magari nikamkuta mwamba nikaanza kupiga kazi hatari sn mpaka jioni kwenye saa 12 hivi jamaa ananifata ananiambia leo hamna hela kwani hela yote kampa bosi hapo sjala, sjanywa wala sina kitu kbs sionewi huruma na mtu.
Nilishiwa pozi ila ndo ivyo nimefanya kazi bure tu ya kuwaingzia watu hela huyooo nikatoka mdogo mdogo kurudi home nina kiu, njaa, nimechoka sn kwa kazi na sina hela hata mia.
Natembea kwa mguu tena toka mbezi to goba alooo nmefika home mwanamke nikamkuta katulia zake na mtoto wameshakula wapo wanabembelezana, daaah no menu hakuna nilichobakishiwa.
Mkumbuke sjala wala kunywa toka asubuhi hapo na nimetenbea kwa mguu nenda rudi, mi binafsi ni mkimya sn so nilipoona hapa hakuna msosi nilinyamaza tu nikatafuta maji nikaoga nikalala kimyaaa yaliyonikuta huko nilikokuwa ni siri yangu na Mungu wangu.
NITAENDELEA....