Inasikitisha... sana...unaweza kuteseka duniani na mbinguni ukachomwa moto!
Mungu wanguNAENDELEA PARTY 2
USIKU MMOJA NAKAMATWA ETI NIMEIBA MEZA YA WATU YA BIASHARA
Usku mmoja nikiwa narudi home nimechoka nina njaa kiu hopeless nikawaza nyumbani kuna viunga vilibaki nikifka nikoroge uji bila sukari ninywe maana najua mwanamke wng atakuwa kapka na hajanibakizia kitu.
Nikapata wazo nikakope vimchele nusu na mafuta hata ya 200 nikifka nipike, kweli nilipata ila sasa moto wa kupikia natoa wp🤔 wakati nipo njian nawaza hapo ni usku wa saa nne, nikapata wazo nitafute vikuni nifke niwashe nipike.
Wakati natembea njian nikaona limeza bovu bovu la mbao lipo njiani aaah saa ngapi nisilibebe ili nipate Kuni nikiwa natembea mdogo mdogo nmekaribia kbs home nashangaa jamaa mmoja mbavu ananisimamisha na kunihoji meza nimetoa wp hiyo ni meza ya BIASHARA ya ndugu yake.
Nikiwa bado najitetea sn kwa huruma labda jamaa anielewe kwamba mi nina shida tu jamaa akasema turudi nilipoitoa.
Na pana umbali nikaongoza njia mpka nilipoitoa akampgia simu mwenye mali aje haraka mwizi wa meza yake kakamatwa jamaa akasema huyo mwizi mlete nyumbani.
Nikabeba tena mmeza mzito tukapga masafa mpka huko kwa huyo mwenye meza aisee akanihoji hoji pale kisha akanambia beba hiyo meza ipeleke sehemu fulani kisha uende zako.🤲 Nikashukuru nikabeba na kuipeleka alikosema nikasepa..
Zangu mchele wenyewe ulidondoka huko njiani wakati nimekatishwa na yule jamaa na skuupata nilifika home mwanamke kalala na hakuna menu nikacheck nikaona ukoko wa ugari uliomwagiwa maji nikachukua nikala tena upo kwenye maji machafu skuwa na namna nikanywa na maji nikalala.
TAENDELEA...
Unaelewa nikisema wanawake ni viumbe wa ajabu sana?😅Mungu wangu
Siti ya mbele kabisa
Acha kukurupuka kipindi hicho kitanda killikuwepo tyr halafu punguza ujuaji watu wanatombe.wa na wana kila kitu wanatoa mpk magari na bado wanatombe.wa sjui kama unalijua hilo.Mambo mengine kujitakia tu...
Gaza unalala kwenye mkeka nguvu ya kukulana na mwanamke unatoa wapi?
Baadae wanawake zenu wakiliwa mnaanza walaumu nyambaf
Ulitaka kusikia Pole Blah blah blah?Acha kukurupuka kipindi hicho kitanda killikuwepo tyr halafu punguza ujuaji watu wanatombe.wa na wana kila kitu wanatoa mpk magari na bado wanatombe.wa sjui kama unalijua hilo.
Sawa nashukuru snUlitaka kusikia Pole Blah blah blah?
aliyesema amerudi nyumbani bila chakula ni nani?
Udhaifu Mkubwa sana Kuanzisha familia kisha ukailaza njaa
Sio mbaya lakini kwani kuna aina ya wazazi fulani huzalisha nakala zao
Hili linathibitishwa na pale simulizi lilianzia kwa aliyekufukuza nyumbani ambaye naye alikua dhaifu sana mpaka akamtumia mwanamke kukung'oa hapo kwenu
Kwa kifupi umerithi upumbavu
Nimesikia maumivu moyoniNAENDELEA PARTY 2
USIKU MMOJA NAKAMATWA ETI NIMEIBA MEZA YA WATU YA BIASHARA
Usku mmoja nikiwa narudi home nimechoka nina njaa kiu hopeless nikawaza nyumbani kuna viunga vilibaki nikifka nikoroge uji bila sukari ninywe maana najua mwanamke wng atakuwa kapka na hajanibakizia kitu.
Nikapata wazo nikakope vimchele nusu na mafuta hata ya 200 nikifka nipike, kweli nilipata ila sasa moto wa kupikia natoa wp🤔 wakati nipo njian nawaza hapo ni usku wa saa nne, nikapata wazo nitafute vikuni nifke niwashe nipike.
Wakati natembea njian nikaona limeza bovu bovu la mbao lipo njiani aaah saa ngapi nisilibebe ili nipate Kuni nikiwa natembea mdogo mdogo nmekaribia kbs home nashangaa jamaa mmoja mbavu ananisimamisha na kunihoji meza nimetoa wp hiyo ni meza ya BIASHARA ya ndugu yake.
Nikiwa bado najitetea sn kwa huruma labda jamaa anielewe kwamba mi nina shida tu jamaa akasema turudi nilipoitoa.
Na pana umbali nikaongoza njia mpka nilipoitoa akampgia simu mwenye mali aje haraka mwizi wa meza yake kakamatwa jamaa akasema huyo mwizi mlete nyumbani.
Nikabeba tena mmeza mzito tukapga masafa mpka huko kwa huyo mwenye meza aisee akanihoji hoji pale kisha akanambia beba hiyo meza ipeleke sehemu fulani kisha uende zako.🤲 Nikashukuru nikabeba na kuipeleka alikosema nikasepa..
Zangu mchele wenyewe ulidondoka huko njiani wakati nimekatishwa na yule jamaa na skuupata nilifika home mwanamke kalala na hakuna menu nikacheck nikaona ukoko wa ugari uliomwagiwa maji nikachukua nikala tena upo kwenye maji machafu skuwa na namna nikanywa na maji nikalala.
TAENDELEA...
Makasiriko ya nini tena?unapitia nyakati ngumu maishani?Ulitaka kusikia Pole Blah blah blah?
aliyesema amerudi nyumbani bila chakula ni nani?
Udhaifu Mkubwa sana Kuanzisha familia kisha ukailaza njaa
Sio mbaya lakini kwani kuna aina ya wazazi fulani huzalisha nakala zao
Hili linathibitishwa na pale simulizi lilianzia kwa aliyekufukuza nyumbani ambaye naye alikua dhaifu sana mpaka akamtumia mwanamke kukung'oa hapo kwenu
Kwa kifupi umerithi upumbavu
Kuna bidada umefanan nae sana ni mke wa david sportwear. Duka lake linaitwa Kariakoo bag liko Tandamti pale unamjua?Na gari pia ya kutembelea nilikuhonga umesahau? 😹😹