Pamoja sana mkuu Nita kutag mkuu.Mkuu pole na tunaomba utuletee kisa chako tuweze jifunza zaidi
Ukisoma vizuri sentensi yake utagundua chanzo ni mama yake wa kambo. Hakuna kosa kubwa wanaume wanafanya kama kuoa mwanamke mwingine na kumfanya awe msemaji au msimamizi wa mali, wakati kuna watoto wengine kawakuta hapo, lazima watoto wa kambo wateseke.Maisha yana mengi, ila mzazi kukufukuza sijawahi elewa ina maana gani?? Kwamba ndiyo utapambana sana au nn 🤔
nilichonote hapa ni kamdomo, kuanza kutangaza plan zako na malengo yako kwa watu lilikuwa kosa la kwanza
Yule jamaa ako muuza simu alimalizia story ake ?cabin nzito sana, ndo imeanza kuchanganya sahv
Huo ndio uanaume hakukimbia jukumu halafu sio kujipanga yy sii shoga ni rijaliHapana maybe hukuona hili lilipo anzia
Hoja yangu ilikuwa hivi...kama mwanaume unaona hali yako ya kiuchumi si njema yapo mambo ambayo ni vyema kuyaepuka ....mfano kijana hajajipata ghafla kaweka mtu mimba unaona ni sawa?
baadae useme nimerejea nyumbani bila chakula mke kalala njaa au mkee kaacha mtoto kaenda kutafuta....
unaona hilo ni swala la kumwambia mtu pole ni maisha tu wote tunapita nk
ukweli ni huu afrika yote tunapitia shida lakini kuna mahali unaona kabisa hatukuwa na mipango
Kaacha ndala mkuu, huyu naye naogopa kumkomalia jf hawakawii kuacha ndala 😁😁😁Yule jamaa ako muuza simu alimalizia story ake ?
Au ndo kaacha ndala ? 😅😅
wapi nimesema imeniuma? nimeandika my note, sijamlaumu nimefikikiria kosa liliazia wapi na wewe comment ikikuboa fanya uignore siyo kukurupuka kujibu pumba.Watu kama nyie kwenye jamii wapo..... mtu aamue kuleta story ya aliyoyapitia wewe ikuume ? Meza wembe. .... story ikikuboa usiwe unakuja kuisoma, simple....mpumbavu
nini kimetokea!Patience kidogo.