NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,094
- 27,639
Na ile private jet yangu Unguja unaniletea lin?Na gari pia ya kutembelea nilikuhonga umesahau? 😹😹
Na ile private jet yangu Unguja unaniletea lin?Na gari pia ya kutembelea nilikuhonga umesahau? 😹😹
Ngoja leo niishi humo.Ni nzuri
Nilikuwa huko mwezi wa pili, Kalobe kuna lami na taa za barabaraniPamoja sana kaka, namisi na ulanzi wa Kalobe.
Nitag mkuuWakuu,
Haya maisha acha kabisa sikuwahi fikiri kuna siku nitabeba mzigo kichwani kama kibarua.
Loooh! Nawahurumia sana yatima yaani nilipokosa wazazi nilipata funzo la dunia.
Niliamua kutumia jina halisi JF nakuacha fake ID kwa kukumbuka tu kuwa ni napaswa kufata mambo yangu bila kuudhi mtu.
Nitaleta kisa changu ila big up sana mkuu mimi binafsi nashukuru ndugu, jamaa na marafiki waliokuwa na mimi kipindi chote. Sina chuki dhidi yao pia walio nikosea nimegundua.
MSAMAHA ni neno dogo ila LINAPONYA
MWENYEZI MUNGU awafanyie wepesi wote mnapitia magumu🙏🏻🙏🏻.
Aisee ni muda kumbe, vipi Itende?Nilikuwa huko mwezi wa pili, Kalobe kuna lami na taa za barabarani
Pamoja mkuu wangu nitaku tag.Nitag mkuu
SawaNgoja leo niishi humo.
Mkuu stendi gani ya mbezi ilihamishiwa makumbusho?? Au unamaanisha stendi ya Mwenge??NAENDELEA PARTY 8
Kwanza nirudi kwa yule dada J nini kilifanyika baada ya kuwa mm nimefukuzwa kazi kwasababu ya roho yake ya kwanini, kwani niliskia kwenye kikao akisema eti imekuaje mi naanza tu kazi nalipwa laki 4 wakatu yeye alianza kwa kujitolea tu kwanini na mimi nisijitolee kwanza.
Kumbuka hapo hata hajui mimi na mzungu tumetoana wapi anasahau pia mimi nilikuwa namzd elimu mbali sana maana yeye alikuwa na certificate tu ndo alikuwa anasaka diploma.
Aisee yule dada J alileta rafiki yake pale ofisini ndiye akawa mtu wa marketing na yeye J akarudi kukaa ofisini.
Ni kweli ambavyo nilinena haikupita hata miezi 2 naye akatimuliwa kwa kutia hasara kampuni yeye pamoja na shoga yake wakapgwa chini.
Haya turudi sasa baada ya kufukuzwa kazi sasa maisha yalikuaje kwa kifupi nilirudi kwenye msoto usio wa kawaida kabisa sikuwa na wa kunitia moyo maisha yangu yote, mama yangu alituacha tukiwa wadogo sana tumelelewa kimafungu mafungu tu yeye mama alirudi kwao huko akaolewa akasahau kabisa kuhusu watoto wake. ( Hii story taileta kivyake kuhusu mama na uhusiano wangu na mzee aisee watu wana roho mbaya sana ).
Ok nikiwa sina kazi rasmi sasa hapo mwanamke hajui kitu na niliapa sitamwambia maana nilijua akijua ataniongezea stress tu.
Kale ka hela nilikobakiza kama laki 2, nako siku 1 mchungaji akaniita kwake akaniomba niwaazime kanisani shs 150,000 baada ya wiki 1 itarudi nikasema hiyo sawa nikampa nikitegemea ni waaminifu itarudi mfukoni nikabaki na elfu 40 tu, wakuu skulipwa pesa yangu yaani skurudishiwa mpaka kesho alooo.
At last nilichafuliwa sana na mchungaji kwa washirika maana niliamua kuachana na mambo ya kanisani kabisa maana niliona kumbe hata hawa wachungaji nao ni walewale nikaamua jifunza kufanya meditation tu siyo mambo ya dini tena.
Msoto ulikuwa heavy skubadili ratiba ya kutoka home nilikuwa natoka kama kawaida alfajiri sn kama naenda kazini kumbe naenda town kutafuta kazi mwanamke ye anajua mi naenda kazni.
Mfumo huo nilienda nao karibu miezi 3 iliisha anaona tu mi natoka kwenda kazini kumbe wapi, akiniuliza salary namwambia kampuni imepigwa faini ya kodi hali si nzuri boss kasema tuvumilie atatulipa malimbukizo yetu.
Ikafikia hatua sasa ya kutembea sina kitu mfukoni naikumbuka na hela yangu niliyoazmwa daaah.
Nikawa natoka alfajiri natembea kwa mguu toka goba napita makongo juu to mlimani city mpaka mbezi stand nakanyaga tena mpk kkoo au naamua kuzuga zuga hapo mbezi stand kama nasubiri usafiri wa kwenda mahali kumbe mi na gain time tu muda usogee sogee naposema mbezi namaanisha stand ya mbezi kabla haijaamishiwa makumbusho enzi hzo.
Nilipgika viatu vikaisha, nguo zkachakaa sina wa kunisaidia wala kunionea huruma njaa yangu, jua langu, kiu yangu, joto langu.
Wakati mwngn naishia pale udsm nazama kwenye miti miti kule natafuta sehemu nakaa peke yangu nalia sana kimoyo moyo nafanya meditation mpk nasinzia huko aloooo alooooo...
Sasa nikaanza kuwa siku zingne nabaki home tu.
Je nn kilijili sasa nilipokuwa nikibaki home pale sku moja moja...
TAENDELEA....
Duh hatari sana, tunasubiri muendelezo tafadhali...NAENDELEA PARTY 17
Toka siku hiyo ndo nikamjua mama yangu sasa ila hata skumjari kabisa na hata leo hii sina hisia za kwamba nina mama ingawa akipataga namba yangu ananitafuta na nampa chochote ila sasa simpi kwa kuskia ndani kwamba nampa mama hapana.
Nilipomaliza drs la 7 sasa aunt alinirudsha kwa mzee dsm huko ndiko nilienda kukutana na dada angu sasa naye tulikuwa hatujuani kbs.
Nilianza secondary nikiwa kwa mzee sjui hili wala lile aisee kumbe nyuma ya pazia wale ma aunt walikuwa wanapambana sn kuhakikisha yule mama aliyeolewa na mzee apate mtoto wa kiume maana alikuwa nao wa kike tu washafika wa3 na mzee umri ukawa tyr unamtupa mkono.
Lakini pia walikuwa wanapambana mimi pamoja na yule mdogo wangu wa mwisho wanatutenganisha na mzee haya nilikuja kuyajua tayari nishapgwa 3 bila.
Nilimaliza O level nikarud tena kwa aunt na kuendelea na A level kahama huko, sasa kuna kauli yule aunt alikuwa anaztoa kwa code sana hasa akiwa amekasrika bas yatamtoka maneno mazto bahati nzuri alikuwa ananijua vema kwamba huwa sjari kabisa na ikbdi sjibu hata akiuliza sjibu na siombagi msamaha kwa vyovyote vile hasa nikigundua sjakosea hata ulie wa machozi.
Kuna kauli aliwahi niambia kwamba nisjdanganye kwamba kuna sku tarudi kwa mzee halafu nimgombanishe mzee na yule mkewe tamjua yeye ni nani.....mmmh hiyo kauli mpaka leo imenikaa sana maana bnafs hata nilikuwa sina mawazo hayo kabisa.
Kumbe kulikuwa na kampeni inapgwa mimi nisiwe na nguvu kwa mzee au kwenye family na ikitokea nina nguvu bs lazma wanitoe home kwa mzee, wakuu mpaka uchawi ulifanyika wakishrikiana na yule mke wa mzee maana walikuwa wanamuimba sana kila kona kumbe ule wimbo wao una siri kubwa sana ambayo wengi hawakuijua mapema.
Nilihitimu A level na kurud dsm nikiwa najiamin nitafaulu maana hakika nilijua mkomboz wangu ni elimu natakiwa kufika university vingnevyo mbele ni Giza kubwa, nilirudi kwa mzee akanipokea vzr matokeo yakatoka nimepga 1.9 na nikafanya process za chuo nikapata udsm pspa alooo kumbe lile jambo halikuwafurahisha akina aunt wakajua kbs sasa huyu jamaa anapga hatua na atakuja kutawala family pale na atayajua yote tuliyomfanyia mama yake lakini pia yule mwanamke tuliyempa baba yake naye atapata taaabu sana maana jamaa hatovumilia.
Vita ikaanza chini kwa chini sasa kuhakikisha sitoboi kutawala family ile yaani pale kwa mzee...
TAENDELEA
Mjue nn kilijiri..

We acha tu.Ukiona una magumu kuna wenye zaidi ya yakwako. Ila kuna watu tulipewa wazazi ambao wakati mwingine unawaza labda ingekua bora kama ungekuwa yatima siku uliyozaliwa kuliko kuwa na wazazi fulani
Vumbi tupuAisee ni muda kumbe, vipi Itende?