Nilivyonusurika kifo Beit bridge

Hii ni risk mkuu wale unaambiwa kabisa kati ya wa 4 mmoja kaungua halafu ngoma Yao Ina kasi hatari anyway ni life mkuu just live it
 
Haha safi mzeiya, umestuka mapema, kuna wadau wapo miaka dahari huku umri unasonga.
Hapana nilipiga hesabu nikaona hainipi acha nisepe halafu Yale maisha ya hatari Kila siku kukwepana na askari ukienda home affairs hakuna majibu ya permit nikaona hapa wakinishika jamaa naenda lindela acha nisepe
 
Hahaha South hawana hurumaaa mkuu nilikuwa joberg birtchwod hotel kama mwezi na jamaa wakazin

Tukajichangajya club caption park wacha kabisa kaja mdada anaongea kiswahili..tukajua mwenzetu wacha tumzooee ..tukamkaribisha hotel ni...

tukakagonga wee weekend sasa tumerudi pale pale club kama jamaa mwingine anajuana na kadada mbongo tukamfurahia..mmoja wetu akaonyesha ana hela aka za kuwazungushia pombe wewee..yaan kutoka kuitafuta tax tuliakia makofi puffffy wote sek wachatusachi kila kityu mmoja akasema mmekuja na hela njooni tena kiswahili..
..nkajua kale kadada kametuchoma yaani mwaka wa tatyu nikikumbuka nasikia sikioo linauma yaaani kofi utahisi nyundoo...

Wabongo wanamalizana sana
 
Hii point sikuijua ya kujipa "uzanzibar"nadhani pia ni vile Zanzibar ni unknown ila Sasa Zanzibar na mi mkiristo ingeleta fikra hasa kwa wale watz wenzangu
Kwa watanzania wenzako hilo halina shida, hapa nazungumzia ili uaminike na angalau uweze kupata kazi.

Wazanzibar kilichowasaidia ni kwa sababu wengi hawana ule uhalifu wa kutisha kama sisi watanganyika. Ndio maana miaka hiyo walikuwa wanaonekana ni watu wema kama ilivyokuwa kwa wamalawi.
 
Mkuu, Wabongo wamefanyeje huko?
Wabongo ndio wezi wa mifukoni na uporaji mdogo mdogo,ndio mapusha wa bangi na unga,wapiga debe,walala nje na kwenye maghetto hasa yale maghorofa kama ya urafiki pale au fire wanayokaa wahindi, wabongo ndio uishi umo kwa kule sa usishangae ukiwakuta appartment 1 wako wanaishi wabongo 20 na zaidi,wazimbabwe nao ndio washenzi kupitiliza zaidi ya wabongo ila wao wanajijali na awaishi kichokoraa kama wabongo
 
Daah Wabongo jau!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…