Nilivyonusurika kifo Beit bridge

Sababu hasa za vurugu zilisukumwa na nini kama unakumbuka?....ni raia wa kundi lipi walilengwa zaidi ?

na response ya serikali ya huko ilikuaje ?

Bado hizo chuki dhidi ya wageni zipo mpaka sasa ?
Chuki zipo hadi Sasa na huwa zinalipuka TU hasa pakiwa na hali Tete ya kisiasa eg 2008 palikuwa na shift of power kutoka kwa Thabo kuja kwa Zuma
2021 palikuwa na Ile kesi ya Zuma
Huwa zinalenga maduka hasa ya wasomali wa Ethiopia street vendors hasa wazimbabwe na foreigners wengine
Kimsingi huwa zipo zinapoa na kutokea tena
 
Tz ilikuwa ili angalau uaminike kidogo basi wewe sema ni mzanzibar, ila kinyume na hapo ni ngumu sana kuaminiwa.

Hata sisi wenyewe kwa wenyewe hatuaminiani, sembuse watu wa mataifa mengine!
Hii point sikuijua ya kujipa "uzanzibar"nadhani pia ni vile Zanzibar ni unknown ila Sasa Zanzibar na mi mkiristo ingeleta fikra hasa kwa wale watz wenzangu
 
Hahaha hii ni kweli kwao mahusiano hayana shida tena wako cooperative sana
 
Vp mademu huko? Maana niliwahi kuishi sehemu za Hatfield nilikua napiga mashine mixer mpaka natetemeka
SA yote wanawake ni nje nje ingawa hata bongo kwa Sasa naona ni yaleyale wanawake Sasa ni sehem ya maisha yetu hatutongozi sana ni ku click Cha msingi piga kazi ndio maana vijana wanasisitizwa waache nyeto wale kitu chenye fluid og
Ila mi nilikuwa na Lungi tangu naingia hadi naondoka sijapiga zaidi yake
 
Poa Kiongozi. Mimi nilipataga Lerato (divorced) alikua anafanya kazi serikalini ana gari Kali na zinga la jumba anaishi na wanae watatu. Akawa anakuja ghetto napiga mpaka usiku mnene anarud kwake, akawa ananiletea misosi.. shida ikawa anataka NDOA na mm naoaje mtu kazaa watoto watatu Baba tofauti? Baadae akaanza kuomba hela na pombe. Nikaona huu ndio wakati nilikua nausubiri Kwa hamu. Nikaachana nae nikawa naokota tu Tinder napiga nablock namba natafuta mwingine.

NB: Mademu wa SA piga, sepa usiweke kambi maana wanapiga mizinga hatari. Utarudi Huna Chochote
 
Hukusamehewa kodi kweli 😄
 
Hiki sio kisa ni story tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…