Nilivyompenda Rais Magufuli

Nilivyompenda Rais Magufuli

Mwananchi wa kawaida hajawahi kupata shida katika tawala zote zilizopita kama shida anazopata katika utawala wa Magufuli lakini pamoja na shida zote anazopata hatakiwi kulalamika,akilalamika anaambiwa alikuwa amezoe vya bwerere.

katika utawala wa Magufuli hata kama unaumizwa hutakiwi kusema unaumia unatakiwa kupongeza kwa kusema sawa mzee unafanya vizuri.

Jakaya aliwaruhusu mseme chochote,mshike hadi kidevu chake,mlivuna nini? naye mkamlipa nini? Mdundo wa ngoma umegeuzwa tuucheze au tunyamaze.Kama wana Israel wengine mnakumbuka nyama Misri,wengine makomamanga,wengine matango,wengine mnauliza mahali pa kuzikwa jangwani.Wachache tumesalia kundi la Joshua na Kalebi lazima tufike Kaanani.Walalamikaji fieni njiani tutafaidi na wanenu na wana wa wana wenu.
 
Back
Top Bottom