Nilivyompa mimba,akinyi kutoka ahero nyakach

Nilivyompa mimba,akinyi kutoka ahero nyakach

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,737
Reaction score
7,443
SEHEMU YA KWANZA:NAANDAA ULIMBO
Wadau salama,hili tukio lilitokea miaka mingi iliyopita,kwenye ile wilaya ya mkonze mkoani Tabora.Kipindi hicho nilikuwa kidato cha kwanza na nimerejea kwetu kutoka masomoni,mkoani Tabora.

Nilivyorudi nikaambiwa kuwa kuna mtoto mrembo mno kaja kwenye huo mji wetu.

Nikamfuatilia nikajua kuwa anaishi kwa kaka yake mtaa mmoja maeneo ya uzunguni na kaka yake alikuwa dokta

Ni mdada mweusi,mnene wa wastani,ana bunyanga zuri tu.Alikuwa na nywele nzuri mno na nikamtamani sana na nikaingia mzigoni.

Kipindi hicho nilikuwa na rafiki yangu ni mtumishi,amepanga mtaa wa Tabora na alikuwa hana mke kipindi hicho.Huyo rafiki yangu kwangu alikuwa ni kaka na alikuwa akinifunza mambo mengi mno,ikiwemo mchakato mzima wa sex.Itaendelea................
 
Kutokana na mgogoro unaofukuta chadema hivi sasa,sitaendelea na stori hii ili nami nikasaidie luwasuluhisha hao wanaogombana,maana ukoo ulioanzisha hicho chama unanihusu kidogo
 
Inaendelea..
Basi bwana ikabidi nimwambie kaka kuwa kuna mdada mweusi,mnene wa wastani,ana bunyanga zuri tu.Alikuwa na nywele nzuri mno na ninamtamani..
Alikuwa anaishi kwa kaka yake mtaa mmoja maeneo ya uzunguni na kaka yake alikuwa dokta, Basi Kaka yangu akanambia kuwa Anafanya kazi na huyo kaka yake na ni rafiki yake sana..

Basi iikabidi Mimi na kaka yangu tupange siku kuwa tunaenda kumtembelea huyo Dokta ambaye ndiyo kaka yake huyo mrembo cheusi mitaa ya uzunguni.. Ilikuwa Jumapili tulivu Nilikuwa nimekula konyagi mbili hivi kupunguza aibu..

Basi kufika pale.. Tukagonga tukakaribishwa.. Tulimkuta Dokta na mdogo wake Ilikuwa Saa moja usiku... Mara Dokta akapigiwa simu kuna dharula kazini anahitajika.. Basi akatuaga akasema tumsubiri.. Kaka naye akasema kuwa anaenda na Dokta kumsapoti kwa hiyo mimi nibaki kuwasubiri ni usiku Mrembo asibaki peke yake..

Sasa ile wanatoka umeme si ukakatika.. Asee Tanesco kama walijua ntaua.. Mtoto si Ndiyo akanifata kunikumbatia... Kwa woga wa giza...

ITAENDELEA...
Ili. Kupata story hii njoo WhatsApp....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom