Nilivyomla mke wa mchepuko wa mchumba wangu

Nilivyomla mke wa mchepuko wa mchumba wangu

Jamiru

Member
Joined
Aug 18, 2020
Posts
92
Reaction score
321
Habarini wakuu !

Leo nimepata muda wa kutulia naomba ni share na nyinyi kisa hiki ili muweze kujifunza kama ikiwezekana.

Mwaka 2018 nilienda mkoa K kwa lengo la kutafuta maisha, nlifikia kwa ndugu yangu ambae yeye ni askar katika kituo kimoja maeneo Yale, basi nikafika pale na kwakua nilishakua na mawasiliano na ndugu Yule hivyo alikua anatambua fika ugeni wangu una lengo gani.

Basi jamaa akawa anatoa support za hapa na pale nikaishi pale kwa muda pasipo kufanikisha, jamaa akawa ananitia moyo kuwa mvumilivu na kutokata tamaa basi bhana mtaani pale nikafahamika sana kutokana na style yangu ya uvaaji na haiba yangu ya kutokua muongeaji.

Nikafahamiana na baadhi ya watu pale mtaani wakiwemo mabinti kadhaa nlio watafuna mambo yakawa kama hivyo, katika hizo harakat nikakutana na mdada binti ana age 24 akanivutia sana nikamtongoza na kuingia rasmi kwenye mahusiano.

Tuliongea mengi kama uaminifu na upendo inabidi vitawale kwenye uhusiano huo, tukaishi kwa furaha na amani kiasi kwamba mtaani wakajua Fulani n Mali ya Fulani, basi muda ukaenda mpaka pale mambo yalipo anza Kuchange kwa binti ila hakua ana onyesha dalili zozote zile za kua kachange.

Ila nili hisi ana uhusiano na mmoja Kati ya madereva wa serikal aliekua napatikana maeneo yale tulokua tuna ishi , basi nikawa na mchunguza kmy kmy bila ya yeye kujua , dereva yule alikua ana uchangamfu mwingi sana kila tukikutana au akitukuta Mimi na binti , alikua hawezi nipita njian bila kunisogeza niendako.

Basi nikakomaa kuchunguza binti kwa muda nikafanikiwa kuhack simu yake na kuanza kupata taarifa nilizokuwa nazitaka muda huo na nishapata kibarua nimepanga na binti kahamia geto Yani tunaishi pamoja.

Basi nlivyo hack Ile simu niingia whatsap na kukuta ana chat na mens kibao na kutumiana ndolilo bila kuuliza

Nilishangaa sana kwasababu yule binti alikua ni mwenye furaha muda wote na kunijali wala hakuwahi nivunjia heshima ndani na nje kwa jamii, nikawaza nini kimempepelekea yeye kuchepuka kama ni chakula, mavazi na huduma zingine nazifanya kadri ya uwezo wangu , chumbani na mpiga show had kuna muda anakua anatetemeka miguu na ukimgusa anaomba pol.

Basi moja kati ya aliokua ana chat nao ni huyo derva wa serikal nikafatilia chat zao nakubaini jamaa hua anatafuna mtoto , nikaumia nakupigia moyo konde kua binti ni wangu na nisha mpenda so n kudeal na dereva ili na yy apate maumivu kama yangu, siku muonyesha binti changes zozote nikatulia tukaishi poa Ila kwa maumivu makali.

Jamaa akawa nakuja home pale nje tunapiga stor na kucheka den anamsalimia demu wake na kusepa zake ,me akat huo nawachora tu nikajua mida huwa Wanawasiliana sana ni saa moja usiku hadi saa 2 time napokua sipo home, basi siku hio jamaa kamtext bibie whatsap waonane kamic mbususu binti kachomoa yupo period so hawezi fanya kama n kiss poa , lakin binti hakua period time hio.

Nikasema Leo nataka niwaone kwa macho yangu , kwel nikawa nafuatilia hadi wakapanga maeneo ya kukukutania na mimi nika sogea mitaa Ile hauikua mbali sana na tulipokuwa tuna ishi , nikakuona binti kafika pale kaingia kwenye gari wakakaa mle kama dkk 40 hivi dem akatoka na kurud home, mimi nika rudi bar nlipokua nimetulia na jamaa zangu nikapiga mbili tatu nikarudi home.

Nikapokelewa kwa shangwe lile lile la siku zote akaandaa msosi tukala na kudozi akanza taka mchezo nikamwambia nimechoka tutafanya monii, basi pakakucha nikatimka had job na kuanza kumuwazia jamaa nimfanyie nink, nikabaini kuwa jamaa ana mke na mtoto mmoja so ni iguse familia yake ili na yeye aumie de same au zaid.

Nikaamfuatilia sana hadi kumjua mkewe nikaamfuatilia na kubaini anapfanyia kazi na kuanza kujenga mazoea nae ilinichukua muda sana had kuweza kuzoeana nae na kumtongoza had kunikubali si chini ya miez 9 , kunipa mbususu ilichukua mwez na kitu tena, basi nikawa naipasua hadi baadhi ya watu wakaanza kushuku na kumfikishia taarifa jamaa.

Jamaa akanza ni winda mtaani lakin maeneo ya home haji na akamwambia binti kuwa natoka na mke wake, binti akaniuliza nikamkatalia kata kata, akanisihi niwe mwaminifu mbona yy hama hizo mambo ,Nika mjibu poa siku ya siku jamaa kanifuata na kuniuliza nika mjibu ndio natoka nae akaleta vurugu tuka amuliwa.

Nikasema mkeka umetiki sasa Nika download dp ya jamaa wote alokua ana chat nao binti nikawa waweka status bila kuandika kitu afu nikazima data , mida narud hm nikawasha data nikakuta binti Ka view afu haja koment kitu, nikarudi hm nimekula kabisa nisije tiliwa sumu, nikamkuta binti kapika mapema na kujilaza sebulen kuniona tu akapiga magot na kuanza kuomba msamaha nikamwambia nime kusamehe muda sana na ndo maana nipo nae mpaka muda ule.

Hakulala alikesha analia asubuh naenda mtingo na jion kurud nakuta wito wa viongoz wa mtaa nikaenda na jamaa akaitwa na familia yake kisha tuka zungumza hitimisho mimi nilikua nataka tubadirishane wake jamaa achukue wangu na mimi ni chukue wake , jamaa akazua ugomvi mkubwa hadi watu na polic wakafika Ila mimi nikasimamia pale pale.

Jamaa akawekwa ndani kwa muda mm nikatulizwa nje tukaitwa tena nika komaa na msimamo wangu jamaa akaanza kelele tena hatimae tuka yamaliza kila mtu abaki na wake na binti nikampiga chin maisha yaka endelea.

NB: UKILA CHA MTU NA CHAKO KITALIWA.

car-kil-ambulance-1.jpg
 
Back
Top Bottom