Habari zenu wana MMU, yaani leo nimeamka na huo wimbo kila nikitaka kuuacha najikuta nauimba tuu, basi nimeona niwashirikishe tuimbe wote.
Ila licha ya kuwashirikisha huu wimbo tuimbe wote nimewaza maneno yake ni maelezo na mafunzo mazuri kwamba pale unapofuata malezi mazuri uliyopewa na wazazi wako utakuja kuishi maisha mazuri na watu/jamii hata pale mzazi wako anapokuwa hayupo maisha hayakushindi, kwa kifupi usipofata mafunzo ya wazazi wako walimwengu lazima wakutende na kukufunza kwa mikiki.
Pia imenikumbusha kuwa hata sisi wazazi wa sasa tunajukumu la kuwalea watoto wetu kwenye maadili na njia nzuri ili hata tusipokuwepo leo au kesho waweze kuishi na watu vizuri.
Ni hayo tuu, siku njema and enjoy! Lets dance the rhumba pale mwishoni :dance::dance::dance::dance:
Mkunde love you all.
★███████████████
★IT'S NICE TO BE NICE★
★SMILE Z LUXURY ★
★███████████████
Habari yako,
ndo nani huyo? naona watu wengi wanamuulizia humu jamvini alikuwa mashuhuri sana au alikuwa mtu wa watu?
Pole kwa kummiss hope huko aliko amepata feelings zako.
Haki yako stahiki yako lazima uopowe na unyakuwe. Siyo kichwa tu bali ukitaka mwili mzima tutakununulia !! Akuzidishie fadhila ! Mkunde keep on tumiminie maSong za aina hiyo.
Millions of Shukraani.