albuluushiy
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 1,404
- 687
Kwa mara ya kwanza leo naunga mkno hoja yako.
Itakuwa ni pigo kubwa kwa Pengo na Nyerere.
Mkuu Mwanakijiji, hivi umekaa ukatafakari kujua madhara yatakayojitokeza ikiwa Muungano utavunjika? Hivi uliwahi kuwafikiria wale wafanyabiaahara wenye asili ya Pekba ambao wamejazana pale Tandika, Ilala, Kariakoo na Buguruni? Vipi wataishi ikiwa Muungano utavunjika? Mkuu Mwanakijiji, hivi uliwahi kufikiria juu ya hawa watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao wametoka pande zote za muungano na wapo kila upande? Mkuu, hivi uliwahi kutafakari mathalan juu ya kuvunjika kwa ndoa yako ambayo imesumu zaidi ya miaka 50 mkiwa mmezaa watoto na wajukuu, mmechuma mali nyingi na kikubwa zaidi mmejenga udugu wa kifamilia?
Na je mtagawana vipi udugu na upendo mlioujenga kwa muda mrefu?

Mawazo yako ni tofauti na jina lako! Nini Wapemba wa Tandika hata wa Omurushaka -kARAGWE,AU kAISHO kyerwa au wawe Nkasi au OMurutunguru ,Ukerewe! Ni lazima wajifikirie wao! Mwanakijiji amekwambia undugu haulazimishwi ,undugu na maridhiano on mutual benefit kama upande mwingine walalamika ,wape wanachotaka Wanzibar wameongea sana ,Sasa na sisi tumeamka kutoka usingizi mzito.....Nakupenda Tanganyika!Mkuu Mwanakijiji, hivi umekaa ukatafakari kujua madhara yatakayojitokeza ikiwa Muungano utavunjika? Hivi uliwahi kuwafikiria wale wafanyabiaahara wenye asili ya Pekba ambao wamejazana pale Tandika, Ilala, Kariakoo na Buguruni? Vipi wataishi ikiwa Muungano utavunjika? Mkuu Mwanakijiji, hivi uliwahi kufikiria juu ya hawa watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao wametoka pande zote za muungano na wapo kila upande? Mkuu, hivi uliwahi kutafakari mathalan juu ya kuvunjika kwa ndoa yako ambayo imesumu zaidi ya miaka 50 mkiwa mmezaa watoto na wajukuu, mmechuma mali nyingi na kikubwa zaidi mmejenga udugu wa kifamilia?
Kwa hiyo tulianza na Nchi 1, Serikali 2 baadaye Nchi 2, Serikali 2 na sasa tunaelekea kwenye Nchi 1, Serikali 1, lakini kwa kuvunja Muungano! Kweli Waafrika tumelaaniwa maana wakati mataifa makubwa yanaungana, (hata Crimea ilivyojitenga na Ukraine imeungana na Russia), vinchi vidogo vidogo vya kiafrika vinatengana!
Kamanda Wachina wapo mpaka uswazi juzi nimekumbana nao gengeni wanabagain ksamvu na nyanya chungu!Umewahi kujiuliza wafanyabiashara/wachuuzi wa kichina wanaishije huku mitaani wakati hatujaungana na china?
Mkuu kwa hiyo inamaanisha biashara ilikuwa ya Nyerere na Karume? Basi ukiona hivyo watoto wameshagundua kuwa biashara hailipiMimi naendelea na msimamo wangu wa serikali moja,nchi moja.Zanzibar ife kama tanganyika.mtasemaje mmeoana halafu mmoja hataki kuondoka kwao?miaka 50 ya kuungana halafu bado mnazungumzia uzanzibari na utanganyika?you can't be serious aisee unless mniambie muungano ni unfinished business ya marehemu na sasa biashara Hugo imewashindeni watoto wa marehemu matokeo yake mnaua biashara.laiti
marehemu wazazi wenu wangekuwepo?!
Mi sikuwahi kuupenda muungano hata siku moja, kama kufa mi ulishakufa siku nyingi tu ila nasubiri siku ya kuanua matanga RIP MUUNGANO.
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA
Mkuu Mwanakijiji, hivi umekaa ukatafakari kujua madhara yatakayojitokeza ikiwa Muungano utavunjika? Hivi uliwahi kuwafikiria wale wafanyabiaahara wenye asili ya Pekba ambao wamejazana pale Tandika, Ilala, Kariakoo na Buguruni? Vipi wataishi ikiwa Muungano utavunjika? Mkuu Mwanakijiji, hivi uliwahi kufikiria juu ya hawa watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao wametoka pande zote za muungano na wapo kila upande? Mkuu, hivi uliwahi kutafakari mathalan juu ya kuvunjika kwa ndoa yako ambayo imesumu zaidi ya miaka 50 mkiwa mmezaa watoto na wajukuu, mmechuma mali nyingi na kikubwa zaidi mmejenga udugu wa kifamilia?
hivi watu wanavyo achana kwenye ndoa wanagawana namna gani upendo, na vilivyotoka kwenye uume na uke wa yule mliopendanaNa je mtagawana vipi udugu na upendo mlioujenga kwa muda mrefu?