Nilitia aibu club mbele ya girlfriend wangu

Nilitia aibu club mbele ya girlfriend wangu

Tushajua kuwa una Gf na ulienda club so karibu sana bwana mdogo jf
 
Ushamba wenu wa mikoani msiulete pwani
 
Mara nyingi siku za weekend nilikiwa napenda kushinda home tu hadi mara nyingine nikawa nazodolewa na wazazi pia mashkaji kuwa nichangamke nakumbuka siku moja ilikuwa ijumaa nilikuwa na girlfriend wangu hivi alikuja home akidai siku hiyo lazima nitoke twende club,kishingo upande nikakubali kutokana na kumkubali bidada.

Mida ya kama saa 2 hivi tulitoka nikiwa katika maisha yangu ndo mara ya kwanza kwenda club iIle kufika ndani ya club kuangalia juu na zile taa zinavyowakawaka na kubadilika rangi zikanitia kizunguzungu na nikadondoka chini na kuzimia baada ya muda nilizinduka nikawa nimezungukwa na watu full kuvunjika mbavu akiwemo gf wangu na rafiki zake wakiniona mshamba,kwa hasira nikaondoka haraka kurudi home.

Sitaisahau hii siku ilinivuruga akili.
Siku utakayoona papuchi ya girlfriend wako na kuzimia naomba niwe karibu ili nije nikusaidia Mwanaume wewe wa Mkoani.
 
Ulishikwa na kifafa wewe, acha kusingizia taa za club.
 
Back
Top Bottom