Nilitegemea mtafiti wa afya NIMR awe director na siyo...

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,819
18,563
Naamini kwamba kuendesha taasisi ya utafiti wa afya kama vile NIMR anahitajika mtu mwenye historia na uzoefu katika masuala ya ufafiti wa afya. Ninavyojua Prof. Mgaya ni mtaalamu wa masuala ya aquatic sciences. Wataalamu hawa wapo NIMR tele na hata taasis nyingine za utafiti wa afya ya binadamu kwanini hawapewi nafasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…