Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 440
- 3,211
Nilitegemea anayejiita Msemaji Mkuu wa Serikali na mtoa ufafanuzi mkuu Bwana Gerson Msigwa leo angebeba waandishi kwenda Makaburi ya Kondo kuwaaibisha CNN kwa uongo, kaishia kutemea mate maiki bila ushahidi wowote.
Nilitegemea aseme sasa ndugu zangu, CNN si wamesema kuna makaburi ya halaiki Kondo? Twendeni mkaone, mpige na picha. Lakini haijawa hivyo.
Kaishia tu kuongea nonsense, huku akidai kuwa Serikali haijatendewa HAKI. Hivi kweli hii serikali ndo imejua kuna kitu kinaitwa HAKI
duniani?
Lakini, yote tisa, kumi ni kuwa hajaikataa hiyo ripoti, na hakuna hata sentesi moja ya kukanusha, iwe kwa maneno matupu au kwa ushahidi. That means CNN wapo sahihi.