Nilitegemea kwa kuwa Samia ni mwanamke basi angeweka agenda ya mazingira na usafi kama kipaumbele lakini nilijidanganya

Nilitegemea kwa kuwa Samia ni mwanamke basi angeweka agenda ya mazingira na usafi kama kipaumbele lakini nilijidanganya

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Nakumbuka baada ya School Of Journalism and Mass Communication pale UDSM kupata dean mpya mwaka 2023 kama sio 2024 moja ya vitu vya kwanza ambavyo yule mama mpya alifanya ni kubadilisha mazingira

Nakumbuka SJMC ilipakwa rangi, mabango mapya kila sehemu na hata kulikuwa na marekebisho katika maeneo mbalimbali

Wanawake wanajulikana kwa kutunza na kukoshwa na usafi. Na huenda huyo dean mpya wa SJMC alipoingia kwenye uongozi alianza kwa kubadilisha mazingira ya Chuo

Ukienda kwa Samia sasa, tangu aingie madarakani sijaona initiatives za kuboresha na kutunza mazingira. Suala la aesthetics kwenye barabara zetu kwakweli bado ni changamoto. Mitaa ni michafu na hata maofisini bado ofisi za Serikali majengo ni ya zamani

Tukumbukwe mwanamke ndo yuko madarakani ila agenda ya mazingira imefichwa kama bangi

Inasikitisha.
 
Back
Top Bottom