Duu! Inamaana kiswahili ni kigumu sana?Kuna watu walikuwa wamejiandaa kuwa waziri mkuu,matarajio yake bado yanamtafuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuaje mkuu labda viongozi wote wa michezo wanaumwaKuna watu walikuwa wamejiandaa kuwa waziri mkuu,matarajio yake bado yanamtafuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona clip from ikulu ikimuonesha engineer Mfugale mkurugenzi mkuu wa Tanroad akitoa ufafanuzi juu ya ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma.
Nilitegemea kumuona mh mwakyembe au naibu wakitoa ufafanuzi lakini cijawaona au Tanroad wanajenga viwanja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwako waziri wa Afya ni kosa kuongelea ujenzi wa zahanati kwa vile ujenzi si fani yake? Lumumba mnapwaya!!Kama umemuona mfugale basi jua alikuwa anaongelea ujenzi kabisa upande wa engineering na architecture.
Ulitaka mtu wa habari na sheria aje akielezee shughuli na hatua za ujenzi?
Mwakyembe ni mwanasheria, muulize kwa kuanzia tu, zege ya uwanja wa michezo linachanganywa vipi.Nimeona clip from ikulu ikimuonesha engineer Mfugale mkurugenzi mkuu wa Tanroad akitoa ufafanuzi juu ya ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma.
Nilitegemea kumuona mh mwakyembe au naibu wakitoa ufafanuzi lakini cijawaona au Tanroad wanajenga viwanja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani akitoa ufafanuzi Mfugale kuna tatizo gani,kipi muhimu kumuona Mwakyembe au kutoa ufafanuziNimeona clip from ikulu ikimuonesha engineer Mfugale mkurugenzi mkuu wa Tanroad akitoa ufafanuzi juu ya ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma.
Nilitegemea kumuona mh mwakyembe au naibu wakitoa ufafanuzi lakini cijawaona au Tanroad wanajenga viwanja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwakyembe awe waziri mkuu?Kuna watu walikuwa wamejiandaa kuwa waziri mkuu,matarajio yake bado yanamtafuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwakyembe awe waziri mkuu?
Mwe si bora hata angeteuliwa Wema Sepetu
Kwani ujenzi umeanza? Kwa hatua hii ilikuwa ni kueleza ukubwa wa uwanja, uwezo wake na mbwembwe za kawaida... Mwakyembe hawezi hiyo? Hata Dudubaya anaweza.....Mwakyembe ni mwanasheria, muulize kwa kuanzia tu, zege ya uwanja wa michezo linachanganywa vipi.
Kwani Wema na Mwakyembe wanatofauti gani?
So kua celebrity na kupendwa na weng ndio criteria ya u wazir mkuu...... Tanzania sijui tunakwama wapi asee......Kwani Wema na Mwakyembe wanatofauti gani?
Wote ni watanzania wenye akili timamu. Kati ya hao Wema Wema anaweza kua waziri mkuu mzuri kuliko Mwakyembe. Kwanza Wema ni celebrity kisha anapendwa na wengi
Ni mabadiliko ya sera. Kwa hivi sasa suala lolote la ujenzi wa miindombinu na majengo ama liko tanroads au tba. Hapo tanroads wakimaliza kujenga wanamkabidhi Mwakyembe aendeshe. Hata viwanja vya ndege, wajenzi ni tanroads.Nimeona clip from ikulu ikimuonesha engineer Mfugale mkurugenzi mkuu wa Tanroad akitoa ufafanuzi juu ya ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma.
Nilitegemea kumuona mh mwakyembe au naibu wakitoa ufafanuzi lakini cijawaona au Tanroad wanajenga viwanja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Saasa mbona jiwe kawa presidada basi hata kingwendu anawezaMwakyembe awe waziri mkuu?
Mwe si bora hata angeteuliwa Wema Sepetu