Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,496
- 37,789
Rais alimuonya DAS mara 2 asiendelee kuchukua "Wake za watu" lakini hakusikia. Mwanakulifind Mwanakuliget. Kila siku uashona nguo sare na mke wa mtu???Muke ya mutu kubwa sana hiyo.Warning hapana jaribu la sivyo iko potea wewe.