Nilitarajia Jokate atakiwe kuolewa

Kunywa kinywaji ukipendacho bill kwangu.
👊🏽👊🏽👊🏽👍🏽

Muulize yule kicheche aliyefukuzwa UDAS alitaka nini ndiyo ujue kuwa Magu ni fisimaji kwa vitoto! Eti anatongoza wake za watu! kwani Jokate ni wako nyambaafu unamharibie mtoto wa watu na uzee wako. Mke wa mtu umemzalisha wote tunakuangalia bado hujachoka umedukua hata simu za akina umi hutosheki? Rubbish nasty leader to have around for the century! Tabia zote ni za Idd Amin!!!!!!!!!
 
Ongeza nguo povu linatosha.
 
Kwako dada yetu jokate, napenda kukumbusha kuwa ni muda wako wa kuolewa sasa. Unafanya vyema sana kwenye uongozi wa kisiasa, kwann hili swala la ndoa limekuwa gumu kwako,.. Muda si mrefu waweza kuwa mkuu wa mkoa, haitaleta picha nzuri kwa maadili ya umma kama utabaki hivi kama ulivyo.

Kazi ni kwako sasa, kama unahitaji kuwa mtu wa kutumainiwa nchi hii kiuongozi, fanya assignment niliyokupa, mwaka huu, usichelewe sana, kama ni muda wa kuchagua ulishapewa toka 2017. Good lucky mdada mzuri View attachment 1744456
Duh...!, wabongo kwa masimango!. Kama mchumba hajatokea, unataka Jokate ajibebishe popote ili kuoelewa watu waone ameolewa?. Kwani kuwa kuolewa au kuwa ni mke wa mtu ni miongoni mwa sifa za uteuzi?. What has kuolewa got to do with uongozi?. Nikutajie majina ya wanawake 10 viongozi wa juu kabisa tena wengine hadi kuongoza mihimili na hawakuwahi kuolewa?.

Mwacheni Joketi kwenye maisha binafsi, tusimuingilie, akitokea mchumba Mungu aliyempangia, ataolewa, tusimlazimishe!.
P
 
Ww mzee unajishushia heshima, tunajua ww ni fundi wa kugeuza maneno, tulia na uzee wako huo, angekuwa binti yako ungefurahi
 
Hivi moderator mmefuta threads yangu afu mnaunga comment yangu kwenye huu ujinga, hivi motto wenu wa kuongea waziwazi mnauzingatia? Acheni hizi tabia zinaudhi watu
 
Najaribu kutengeneza picha ya mzee baba kafikishwa Uhuru peak kule Kilimanjaro nashindwa kuipata naambulia miguno tuu.
Hujui ndio maana pace maker ilimaliza chaji yote! Jokate ni Muuaji for sure!! akamatwe haraka!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom