Nilitaka kurogwa na bibi yake Dura

Huyu jamaa anajua anaandika nini,yaani alivyo yakosea maneno jana,leo anaandika yaleyale.Halafu,hivi visa vyake kuna kitu vinalenga jiulize,kwanini wachaguliwe wavulana badala ya wasichana kupika kwenye mbio za mwenge?Kama ni chakula cha kijiji kizima ndio kipikwe na hao vijana wanne tu?Lazima kuna kitu anakisema katikati ya hivi visa vyake.Maadamu vinapunguza stress wacha tuburudike
 
Yeye ndio anajua kupika kijiji kizima,anamshinda hata dura,abudala,sipiriyani na sosipita ndio maana alichaguliwa kupika chakula cha wageni wa mbio za mwenge.Dura anawekaga chumvi nyingi
 
Reo nirikuwa bize sana na kazi ya nduka ndio maana tagu hasubuhi siko umu na simu irikuwa kazini kwa dura akiweka mziki ili husiku nije nisikirize. Poreni na majunkumu ya apa na pare na sasa tuko wote tena umu dani?. Nakubuka hilikuwa muaka jana abapo nirichaguriwa kupikia kuwenye bio za muenge wakati hukija uku kuzinduwa zaanati yetu. Muenyekiti arinichagua mimi na abudala na amis na sipiriyan na sosipita uyu ni mudongo wake na dura muenye komupiyuta na sabunfa ra muziki. Bahada ya kuchaguriwa bibi arifurahi sana mahana sisi ndiyo tunapikiya wageni wa kuwenye muenge.? Bahada ya kurudi nyumbani bibi yake dura arikuja nyumbani uku hakisema kua ninajifanya eti kisa najuwa kupika kuriko dura na sintafika popote pale. mimi mirinyamanza na kukaa kimiya mahana huyu bibi yake dura ariwahi kumupiga bibi yagu kisa kapita shabani kuwake na ngombe. Nirirudi ndani na bibi yake Dura akasema reo usiku sitarara na bibi halisikia hile habali akaniodoa pale nyumbani usiku na kunipereka kwa mujomba muingine acha yure wa itaria?nirienda kurara na kesho yake hasubuhi nikaamuka kuwenda kwenye bio za muenge kupikiya wageni wetu wariokuja na muenge.?

Lafiki yake Dura.
Mimi nimependa tu unavoweka question marks kila mahali
Hahahahahahaha
 
Back
Top Bottom