Nilitaka kurogwa na bibi yake Dura

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
23,373
54,754
Reo nirikuwa bize sana na kazi ya nduka ndio maana tagu hasubuhi siko umu na simu irikuwa kazini kwa dura akiweka mziki ili husiku nije nisikirize. Poreni na majunkumu ya apa na pare na sasa tuko wote tena umu dani?. Nakubuka hilikuwa muaka jana abapo nirichaguriwa kupikia kuwenye bio za muenge wakati hukija uku kuzinduwa zaanati yetu. Muenyekiti arinichagua mimi na abudala na amis na sipiriyan na sosipita uyu ni mudongo wake na dura muenye komupiyuta na sabunfa ra muziki. Bahada ya kuchaguriwa bibi arifurahi sana mahana sisi ndiyo tunapikiya wageni wa kuwenye muenge.? Bahada ya kurudi nyumbani bibi yake dura arikuja nyumbani uku hakisema kua ninajifanya eti kisa najuwa kupika kuriko dura na sintafika popote pale. mimi mirinyamanza na kukaa kimiya mahana huyu bibi yake dura ariwahi kumupiga bibi yagu kisa kapita shabani kuwake na ngombe. Nirirudi ndani na bibi yake Dura akasema reo usiku sitarara na bibi halisikia hile habali akaniodoa pale nyumbani usiku na kunipereka kwa mujomba muingine acha yure wa itaria?nirienda kurara na kesho yake hasubuhi nikaamuka kuwenda kwenye bio za muenge kupikiya wageni wetu wariokuja na muenge.?

Lafiki yake Dura.
 
ndiyo huyu huyu dura naehishi naye huku mutaani kwetu ama yupi mukuu?!!

Sinjawahi kutumiya umu ira lafiki yagu wa tabola alikua anatumiya u mtadao wakat nikitumiya facebok?
Mbona sasa hinasemekana dura ndiyo hanajua kupika kuriko wewe,hikawaje wewe hukachaguliwa kupika kwenye bio za muenge dura hajachaguliwa?

Hebu muhone dura akikuna nazi
tapatalk_1542306503120.jpeg
 
Sipati picha ni bibi ake nani alishinda mpambano na bado ngoma linaendelea kwa wajukuu
Bibi ake dura aliwahi kumpiga bibi ake pembe za panzi
Mbona sasa hinasemekana dura ndiyo hanajua kupika kuriko wewe,hikawaje wewe hukachaguliwa kupika kwenye bio za muenge dura hajachaguliwa?

Hebu muhone dura akikuna naziView attachment 935598
Mkuu dura huyu huyu ndio tunaishi nae huku yaan anakuna nazi na kupika mwanzo mwisho
 
Sipati picha ni bibi ake nani alishinda mpambano na bado ngoma linaendelea kwa wajukuuMkuu dura huyu huyu ndio tunaishi nae huku yaan anakuna nazi na kupika mwanzo mwisho
Wajukuu walishamalizana maana pamoja na kwamba dura hakwenda kumuona mwenzie alivyokamatwa na police kwa sababu yake lakini pembe za panzi alimsamehe dura.Sema dura hajui kupika anaweka chumvi nyingi kwenye chakula
 
Back
Top Bottom