khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,202
- 1,497
Tulia bwana mdogo pitia nyuzi zangu utajifunza mengi
Jina la mwanake mwenyewe ndo Delilah? Hili jina si lisha laaniwa tu toka mkasa wa Samson.



mr 
Mtavurugwa sana vijana...enzi za wadada wa zamani mnawaunga hata 10 kw sasa imekua virse versa.. nyie ndo mnaungwa kama mishikaki....
We Fala kweli , hamna binti aliye single , ulitakiwa uongeze juhudi ili ujimilikishe , sa hv ukitaka binti inabd ufanye ambush ya kumng'oa mtu hakuna namna