themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,065
- 3,845
Mapenzi unayajua kweli wewe?Na wewe una shida kwenye dini yako waumini wote waliopo hukuona wa kuoa Hadi ukaparamie Muislamu.Huko vizuri kichwani
Mkuu nilipewa vitu na mzenji mmoja hivi mpk nikasema inabidi serikali iweke sheria kali kwa wanaotaka kuvunja muungano.Na wewe una shida kwenye dini yako waumini wote waliopo hukuona wa kuoa Hadi ukaparamie Muislamu.Huko vizuri kichwani
mtafute wa dini zenu
Kumbe kubaki na dini ya kikristo ni kuendelea kupiga mitungi , na chair fire[emoji16][emoji16]Kuna mshkaji alikuwa kama ww, akaamua kubadili na akajiita selemani..but ilikuwa kumridhisha tuu, akampiga mimba na kazaa...ila dini yake anayo ya kikristo...chair fire , mitungi etc anapiga fresh tuu
Kwani kuna dini zaidi ya Islam? Sasa wakatafute wapi?mtafute wa dini zenu
Hata wewe una udhaifu mwingi,hususani katika kujifanya shirika la msaada,wa watu wa marekani,Niliwahi pata binti wa kiislam kutoka urangini huko nikampenda sana, nikawa namhudumia zaidi ya mke wa ndoa maana bajeti yake kwa mwezi nilikuwa natumia zaidi ya laki 5 hadi 6.
Ila ilipofika wakati wa ndoa akawa anapiga chenga hataki kubadili dini anataka niwe muislam alafu nikaowe, nikamwambia mwanaume kamili hawezi badili dini kisa mwanamke ni ujinga.
Nikampa options kuwa tukafunge ndoa ya mahakama ili kila mtu abaki na Dini yake akakataa akasema hawezi kama vipi tuendelee hivi hivi.
Kuna kipindi wazee wakaniita wakanipa ushauri kuwa kuishi na binti Dini tofauti kwa kipindi kirefu bila ndoa ipo siku atampata wa imani yake atapewa mimba au kuolewa kabisa atachukuliwa namuoba na sitofanya chochote zaidi ya kuumia.
Baada ya kubembeleza sana alipokataa machale yakanicheza ikabidi nimpige chini mazima,nikaachana nae nikatafuta mwanamke wa imani yangu nikaowa now maisha yanaendelea fresh.
Juzi kati kivukoni hapa nikakutana nae baada ya mda mrefu kachoka vibaya ana watoto mapacha na kazalishwa akiwa kwao na aliyemzalisha ni waupande wake na kamkimbia now anatamani hata kuskia ndoa baada ya kuchakaa vibaya.
Vipi umefurahi kumuona kachakaa Mkuu?Juzi kati kivukoni hapa nikakutana nae baada ya mda mrefu kachoka vibaya ana watoto mapacha na kazalishwa akiwa kwao
Kuna mshkaji alikuwa kama ww, akaamua kubadili na akajiita selemani..but ilikuwa kumridhisha tuu, akampiga mimba na kazaa...ila dini yake anayo ya kikristo...chair fire , mitungi etc anapiga fresh tuu
Mpaka ukavuka ulutheri kutafuta muislamu hayo soliyo ma.penzi una pepo la uzinzi hakuna Cha mapenzi hayana macho Wala NiniMkuu nilipewa vitu na mzenji mmoja hivi mpk nikasema inabidi serikali iweke sheria kali kwa wanaotaka kuvunja muungano.
Usisahau me ni mlutheri mzuri tu.
Mapenzi hayana udini.
Huyo alikuwa Muislam jina siyo Muislam imani.Niliwahi pata binti wa kiislam kutoka urangini huko nikampenda sana, nikawa namhudumia zaidi ya mke wa ndoa maana bajeti yake kwa mwezi nilikuwa natumia zaidi ya laki 5 hadi 6.
Ila ilipofika wakati wa ndoa akawa anapiga chenga hataki kubadili dini anataka niwe muislam alafu nikaowe, nikamwambia mwanaume kamili hawezi badili dini kisa mwanamke ni ujinga.
Nikampa options kuwa tukafunge ndoa ya mahakama ili kila mtu abaki na Dini yake akakataa akasema hawezi kama vipi tuendelee hivi hivi.
Kuna kipindi wazee wakaniita wakanipa ushauri kuwa kuishi na binti Dini tofauti kwa kipindi kirefu bila ndoa ipo siku atampata wa imani yake atapewa mimba au kuolewa kabisa atachukuliwa namuoba na sitofanya chochote zaidi ya kuumia.
Baada ya kubembeleza sana alipokataa machale yakanicheza ikabidi nimpige chini mazima,nikaachana nae nikatafuta mwanamke wa imani yangu nikaowa now maisha yanaendelea fresh.
Juzi kati kivukoni hapa nikakutana nae baada ya mda mrefu kachoka vibaya ana watoto mapacha na kazalishwa akiwa kwao na aliyemzalisha ni waupande wake na kamkimbia now anatamani hata kuskia ndoa baada ya kuchakaa vibaya.
[emoji3][emoji3][emoji3] nenda kule jukwaa la habari mchanganyiko kuna uzi wa wenzako hukoHuyo alikuwa Muislam jina siyo Muislam imani.
dini zinatuangamiza sana waafrika Hakya MunguNa wewe una shida kwenye dini yako waumini wote waliopo hukuona wa kuoa Hadi ukaparamie Muislamu.Huko vizuri kichwani.