ulichelewa sana mkuu. Mimi nilikula kibuti cha kwanza nikiwa chekechea. Kuna bwege alikuja na begi jipya mimi nikatoswa!umeanza mambo ya mapenzi mapema sana mkuu..sasa primary ulikuwa tayari unavutiwa na wanawake?me wanawake nimeanza kuwajua niko form 3.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ulichelewa sana mkuu. Mimi nilikula kibuti cha kwanza nikiwa chekechea. Kuna bwege alikuja na begi jipya mimi nikatoswa!
Nakazia hapaAlafu mwanamke wa kumpenda kweli....
huwaga ni mmoja tu .....
wake zetu watusamehe bure.....
Alafu mwanamke wa kumpenda kweli....
huwaga ni mmoja tu .....
wake zetu watusamehe bure.....
Mm hili lihadithi nimechoka kulisoma....Kila mtu linamtokea. 😂😂😂Mbona sehemu zingine umeitumia "r" vizuri tu ila kwingine ukaamua kufanya kusudi[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Pole kwa msiba.
Nyie mnapenda hovyo hovyo....Hata mwanaume
Umri wake kipindi hicho ulikuwa sawa na ww ulipokuwa form 3. Wasukuma wanachelewa Sana kuanza shuleumeanza mambo ya mapenzi mapema sana mkuu..sasa primary ulikuwa tayari unavutiwa na wanawake?me wanawake nimeanza kuwajua niko form 3.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm hili lihadithi nimechoka kulisoma....Kila mtu linamtokea. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duhBado una nafasi nyingi ya kujiua. Itakuwa vizuri ukitimiza azimio lako