J.P.Magufuli alihadi kwa kejeli akijaita majizi yote kupelekwa mahamani pindi atakapokuwa rais leo nimeshuhudia akipigia debe watu waliojigawia mabilioni ya shilingi na kuyaita ela za mboga
my take:magufuli ni muongo sana anayekumbatia mafisadi kamwe hawezi lolote
Subiri ndani ya siku mia moja rais John Pombe Magufuli atakavyowakimbiza mafisadi wote. Zile jalada zote zenye ushahidi zilizoko Takukuru atakabidhiwa DPP hata kama zitawasomba wazee wastaafu. Hapo ndipo mtajua maana ya SASA NI KAZI TU!
Unashangaa Magufuli kumnadi chenge na Tibaijuka,unaumwa nini wewe?Badala ya kushangaa Mbowe kumnadi Lowasa fisadi number moja
nendeni mahakamanii banaaa mnasubirii ninii
Wazungu wanasema Charity begins at Home,hakika Magufuli hawezi kama zoezi dogo hilo limemshinda ataweza jambo kubwa zaidi
Unashangaa Magufuli kumnadi chenge na Tibaijuka,unaumwa nini wewe?Badala ya kushangaa Mbowe kumnadi Lowasa fisadi number moja
Subiri ndani ya siku mia moja rais John Pombe Magufuli atakavyowakimbiza mafisadi wote. Zile jalada zote zenye ushahidi zilizoko Takukuru atakabidhiwa DPP hata kama zitawasomba wazee wastaafu. Hapo ndipo mtajua maana ya SASA NI KAZI TU!
Kwani Chenge nae kapelekwa mahakamani,Chenge na Lowasa ni wale wale,mngetaka mabadiliko hakika mngemsupport Hashim wa CHAUMAnendeni mahakamanii banaaa mnasubirii ninii
Kwa sasa hana madaraka kwa hiyo tusimhukumu. Subiri akamate rungu ndipo useme.