Nilisubiria kwa hamu je Magufuli atawanadi Tibaijuka, Chenge

run CMD

JF-Expert Member
May 31, 2015
2,798
3,108
J.P.Magufuli alihadi kwa kejeli akijaita majizi yote kupelekwa mahakamani pindi atakapokuwa rais leo nimeshuhudia akipigia debe watu waliojigawia mabilioni ya shilingi na kuyaita ela za mboga

my take:magufuli ni muongo sana anayekumbatia mafisadi kamwe hawezi lolote
 
Anadanganya ataanzisha Mahakama ya Mafisadi,je atamkamata na Kumfunga Kikwete?! Rejea kashifa ya EPA,Stimulus Package,Bunge la Katiba etc-ni uhujumu mchumi tupu!!

Je Magufuli atamkamata na kumfunga Mkapa kwa kufanya biashara akiwa Ikulu,kwa kujigaia mgodi wa Kiwira na kashifa nyingine kedekede?!

Magufuli ni mnafiki,ni kasuku anaeimba nyimbo na kupiga miluzi miiingi kuhadaa watu!!!
 
J.P.Magufuli alihadi kwa kejeli akijaita majizi yote kupelekwa mahamani pindi atakapokuwa rais leo nimeshuhudia akipigia debe watu waliojigawia mabilioni ya shilingi na kuyaita ela za mboga

my take:magufuli ni muongo sana anayekumbatia mafisadi kamwe hawezi lolote

Subiri ndani ya siku mia moja rais John Pombe Magufuli atakavyowakimbiza mafisadi wote. Zile jalada zote zenye ushahidi zilizoko Takukuru atakabidhiwa DPP hata kama zitawasomba wazee wastaafu. Hapo ndipo mtajua maana ya SASA NI KAZI TU!
 
Wazungu wanasema Charity begins at Home,hakika Magufuli hawezi kama zoezi dogo hilo limemshinda ataweza jambo kubwa zaidi
 
muleba kusini wa imani na magufuli lkn TIBAIJUKA imekula kwake, ajiandae kukabidhi nyaraka za jimbo. MAFISADI KWETU MWIKO
 
Rais Wa Libya Ni Sadam
Hapana Kuwait

Huyu Magufuli Hana Usafi Wowote
 
nendeni mahakamanii banaaa mnasubirii ninii

Katika watakaotinga mahakamani lowasa atakuwa namba moja na kama aliamrishwa kutii amri haramu itabidi wahusika wote wafungwe mashati. Awamu ya tano hatutaangalia sura ya mtu. Sisi ni kazi tu. Tutahakikisha serikali safi kabisa, tunasema kweli, kweli kabisa na Mungu atamlinda rais J.P. Magufuli dhidi ya mafisadi papa na maadui wote wa roho na mwili. Amen.
 
Subiri ndani ya siku mia moja rais John Pombe Magufuli atakavyowakimbiza mafisadi wote. Zile jalada zote zenye ushahidi zilizoko Takukuru atakabidhiwa DPP hata kama zitawasomba wazee wastaafu. Hapo ndipo mtajua maana ya SASA NI KAZI TU!

Kama mafail yapo,basi rais wa sasa awapeleke mahakaman,mnasubir mpaka aje Mr.Wine,hao jamaa wakifa je????mtashtak makabur?
 
Da! Huyu jamaa anatudanganya kweli hivi wewe wanasisiem wenzake anaweza kuwafunga? Katiba ya wanyonge waliichana! Leo wew mtanzania mwenzangu hulioni hilo? Ebu tuacheni ushabiki usio na hoja za msingi pia ubinafsi sio issue kabisa! .
 
Kwani sasa hivi magufuli anashindwa nn kumwambia Kikwete ampeleke lowassa mahakamani???
 
Mpaka yeye aingie!!? Nashangaa sana mnavyotaka kumtenganisha Kikwete na magufuli kisa mnamuona sasa hv mchafu anawaharibia!!
Kikwete akijitamba" nimefanya mengi nimewatoa hapa nimewapeleka pale"
Magufuli- Mafisadi ndio waliotufikisha hapa! Mara ooh Serikali hivyo haijali watu! Mara nashangaa hiki nashangaaaa kile
Sasa tumwelewe nani
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom