Somo la ualimu
Hiyo ni chuo TTC
Mkuu chuo kuna masomo ya advance?
Yaani pale juu umeeleza kwamba umesoma advance halafu wanakujliza shule gani unasema TTC chuo kipi ni kipi?
Nilichaguliwa toka form four direct kwenda chuo kusomea diploma in education lakini kabla ya kufanya diploma tunafanya kwanza mtihani wa form six then wa diploma ndo unafuata na kozi ni ya miaka mitatu ,hope nimeelezea kidogoMm nmesoma nmeona mapicha picha.
Akikujibu uni tag.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee jamaa bhangi mbayaaa achaa kabisaNilichaguliwa toka form four direct kwenda chuo kusomea diploma in education lakini kabla ya kufanya diploma tunafanya kwanza mtihani wa form six then wa diploma ndo unafuata na kozi ni ya miaka mitatu ,hope nimeelezea kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee jamaa bhangi mbayaaa achaa kabisa
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee jamaa bhangi mbayaaa achaa kabisa
Mkuu kozi hiyo ni kweli ipo, kozi maalumu kwa ajili ya walimu wa sayansi kwa secondary. Mwanafunzi anachaguliwa direct toka form four kwenda chuo cha ualimu na huko atasoma masomo ya advance na baadae ualimu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee jamaa bhangi mbayaaa achaa kabisa
Yaani watu washawasahau hawa madogo, si ndo wale walikuwa UDOM wakahamishwa?Mkuu kozi hiyo ni kweli ipo, kozi maalumu kwa ajili ya walimu wa sayansi kwa secondary. Mwanafunzi anachaguliwa direct toka form four kwenda chuo cha ualimu na huko atasoma masomo ya advance na baadae ualimu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shida sio kulearn ila kuelewa ndo tatizo labda jamaa hajui kujielezea ila kitu kama hichi hakipo kamwe sababu..Usichokijua uliza take every opportunity to learn usikariri wala kuishi kwa mazoea
Nashkuru kwa kunisaidia kuelezea af sijui ni kitu gani kigeni kisichoeleweka maana hata mwaka huu wapo waliochaguliwa na tamisemi kwenda hiyo koziMkuu kozi hiyo ni kweli ipo, kozi maalumu kwa ajili ya walimu wa sayansi kwa secondary. Mwanafunzi anachaguliwa direct toka form four kwenda chuo cha ualimu na huko atasoma masomo ya advance na baadae ualimu.
umeeleweka vizuri.. vip ukimaliza diploma yako unapewa vyeti viwili? cheti cha form six na diploma au cheti kimoja tu kati ya hivo?Nashkuru kwa kunisaidia kuelezea af sijui ni kitu gani kigeni kisichoeleweka maana hata mwaka huu wapo waliochaguliwa na tamisemi kwenda hiyo kozi
Huwa Wanapewa vyote viwili kila kimoja kwa wakati wakeo
umeeleweka vizuri.. vip ukimaliza diploma yako unapewa vyeti viwili? cheti cha form six na diploma au cheti kimoja tu kati ya hivo?