Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
- Thread starter
- #81
Sawa mkuuYeah naungana na wewe kwa sababu sio utamaduni wetu kwa mtoto kumtuma mkubwa kwa style uliyoelezea
Sawa mkuuYeah naungana na wewe kwa sababu sio utamaduni wetu kwa mtoto kumtuma mkubwa kwa style uliyoelezea
Nakuelewa mkuu, hii inaitwa lugha gongana. Kichwa cha habari kinasema "....anamtuma baba yake...." lakini kwenye nukuu anasema mtoto alitumia maneno "would you please"
Sisi wa africa ni civilized sio km wazungu. ss tunajali morals na ethics
Huyo wako bado ni mtoto mchanga lakini usimzoeshe sana akutume tume
Mtoto wa miaka 13 kumtuma baba kwenda dukani wakati yeye yupo busy anachezea tablet huko ni kukosa adabu mkuuTatizo liko wapi baba akitumwa na mtoto?
mtoto hatakiwi kuchekewa kila wakati mkuu. Unakuwa unamkuza vibayaTabia za kibabe babe kwenye familia ndizo hasa zinazozaa madikteta Africa.
Hawa madikteta hawakuibuka tu. Wametoka humo kwenye familia za kinduli nduli.
Tunapopambana na ulevi wa madaraka, utawala wa sheria na uvunjifu wa Katiba, chanzo chake ni malezi ya kidikteta dikteta huko kwenye familia zenye mababa Katili.
Kwa hiyo tatizo lipo kwa baba kukubali kutumwa na mtoto?@Uelewa wa hawa jamaa ni mdogo. Mtoro kaomba baba yake amsaidie wao wanaona ni issue. Ni kweli kwa maelezo ya jamaa mtoto kasema "would you please" katika lugha hii tunaita REQUEST. Not Command or Obligation.
Haya ni matusi sasa mkuu. Please acha kutukana@Hao ndio watoto walioratibiwa......... wewe wako ulimpata guest houses kwa msaada wa supu ya pweza na Kiroba........baaada ya kumdanganya kidemu kimoja cha kutoka iringa si balaaa hilo...........
Jokes and not seriouslyHaya ni matusi sasa mkuu. Please acha kutukana@
MhhhJokes and not seriously
Umeandika kwa jazba sana kijanaHao ndio watoto walioratibiwa......... wewe wako ulimpata guest houses kwa msaada wa supu ya pweza na Kiroba........baaada ya kumdanganya kidemu kimoja cha kutoka iringa si balaaa hilo...........tena ulipiga bao kumi kwa kukomoa mwisho wa siku mtoto katoka kakamaa kama gamba la kaa dadeki.............
Kwa hiyo tatizo lipo kwa baba kukubali kutumwa na mtoto?@
Infantry Soldier anataka kuleta ujeda wake mpaka katika maleziDaaah... Unachelewa sana kuelewa. Baba ameombwa na mtoto wake kununua kitu.hii inaonesha baba na mtoto wana ukaribu mpaka urafiki.na mtoto amekuwa mstaarabu kasema would you please... Hamna tatizo kwa mzazi kwenda.
nyie mmelelewaje na wazazi wenu?sisi tumezoea kuwaambia wazazi... Baba unaweza niletea cake?naomba uniletee keki... Ndo maisha yetu ni kawaida.na mzazi analeta. Malezi mazuri huleta urafiki
Hahahahaaaaa. Daah nimecheka sana mkuuNa mimi ndo yule mzungu Kumbe Wabongo mlikuwa mnanichora eeh aisee mlijua sikijui Kiswahili,