Nilishangaa kuona mtoto wa kizungu anamtuma baba yake dukani

Uelewa wa hawa jamaa ni mdogo. Mtoro kaomba baba yake amsaidie wao wanaona ni issue. Ni kweli kwa maelezo ya jamaa mtoto kasema "would you please" katika lugha hii tunaita REQUEST. Not Command or Obligation. Jamaa wanatokwa na mapovu for nothing. Kama hawaelewi lugha wawe wanauliza.
Lakini mkuu tuache uwongo, mtoto atoe sentensi hii "baba naomba msaada uniletee maji ya kunywa" huku yeye akiwa amekaa kweny sofa anatazama Tv, je inakuaje?
 
cocastic ukisoma suala la malezi ukalielewa huwezi pata shida.wazazi wengi nadhani wa kiafrika hawajiamini na hata wanaume wengi pia hawajiamini.ndo maana mwanaume pia akiombwa afanye kitu na mkewe tayari anakimbilia kuona amedharauliwa.

Huo mfano kuna jamaa yangu mmoja alishangaa kunikuta napika na wife yupo sebuleni anaangalia movie na watoto.na dada wa kazi pia amekaa.mimi nipo jikoni napika.

Jamaa alikuja bila appointment so nikamwambia akaribie jikoni napika.alishangaa sana na siku moja alikuja kunambia kuwa nina maisha ya kizungu.nlimwambia si ya kizungu.ni yanayopaswa kuishiwa na watu.mimi niliendelea kuwa mume wa huyu mke wangu na kuniheshimu sana.

The same.mtoto yupo nje anacheza na wenzie very busy...then nipo nje pia akaniomba baba naomba unisaidie maji ya kunywa.hapo shida ipo wapi?mimi napoteza wapi ubaba wangu?namletea anashukuru anaendelea kucheza. Huo ni urafiki. Jama ambavyo angeweza kunambia nikiwa kazini baba naomba leo uniletee juice.the same.

Kuombwa kufanya jambo flani si utumwa au ukosefu wa adabu.ukijiamini unaelewa.pia malezi siyo ubabe na kuogopwa.mbaya kama mtoto hatumii lugha ya kiuungwana. "Baba kalete maji ya kunywa" hapo ntamwadhibu sababu katumia lugha chafu.

But mtoto anapaswa kulelewa kwa mapenzi na urafiki.mbona Mungu ni mkubwa zaidi na tunamwomba atufanyie kitu. "Mungu naomba uniponye" au naomba unipatie kazi. Au naomba unilinde hapo si umemtuma? Sasa Mungu si zaidi ya hawa watu wengine?

Mmmh japo sio rahisi kihivyo, ila anyway kila mtu na mtazamo wake.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania;

Nilishangaa sana nilipoona Mtoto wa Kizungu anamtuma baba yake dukani.

Ninaposema mtoto wa kizungu ninamaanisha mzungu wa ulaya huko na sio mtoto wa kishua wa Tanzania.

Siku moja wakati ninafanya kazi katika kampuni moja ya mawasiliano ya simu za mkononi kule Arusha mwaka 2013 tulipata kwenda sehemu inaitwa Snake Park nikiwa na shemeji/wifi yenu siku ya siku kuu ya X-mas.

Hapo Snake park kama ambavyo jina lenyewe linajieleza kuna vivutio vingi sana kama vile nyoka wa aina mbalimbali, ngamia, kobe, mamba pamoja na ndege wengi wa aina tofauti tofauti.

Hapo katika kupanda ngamia ndio kwenye kituko chenyewe sasa.

Kupanda ngamia kwa pale snake park kwa siku za kawaida sio issue sana kwa maana watu hawawi wengi kama ambavyo inakuwaga katika siku za sikukuu.

Kwa siku za Sikukuu watu huwa ni nyomi sana hususan watoto pamoja na wanawake hivyo ni lazima watu wapande gamia hao kwa awamu.

Baada ya malipo ya kupanda, mtu hupewa karatasi yenye number fulani kisha zamu yake ikifika number ile huitwa.

Sasa kuna baba mmoja wa kizungu alikuja na mkewe pamoja na mtoto wao mmoja wa kiume. Kwa harakaharaka bila kuangalia cheti chake cha kuzaliwa yule mtoto anaweza kuwa na umri kama miaka 12 au 13 hivi. Sasa sijui kama ni watalii kutoka ulaya au ni wazungu walioloea pale pale Arusha.

Yule dogo akiwa katika kusubiri zamu yake ya kupanda ngamia huku akiwa anacheza game kwenye Tablet ya baba yake, nilisikia kwa usahihi kabisa akimuomba baba yake "Dady, would you go buy me a coke cuz I feel tired waiting to ride this Camel. Please dady pleeeeeease"

Kwa moyo mkunjufu kabisa na pasipo kuwa na kinyongo chochote nikaona baba yule akatii ombi la mtoto wake pasipo kuwa na hata tone la ubishi na kwenda moja kwa moja katika moja ya maduka ya pale jirani na kuja na makopo matatu ya Soda. Bila shaka alinunua soda mbili za ziada kwa ajili yake pamoja na mkewe.

Wote kwa pamoja wakanywa na kufurahi. Muda ulipowadia yule dogo alipanda ngamia, alipiga na picha kisha wakaondoka huku wakituacha mimi pamoja na shemeji/wifi yenu tukiwa bado tunasubiri zamu yetu kufika.

Sisi pia tulifanikiwa kupanda gamia na kuondoka ingawa ilikuwa ni jioni sana, lakini watanzania wenzangu;

NILISHANGAA SANA KUONA MTOTO WA KIZUNGU ANAMTUMA BABA YAKE DUKANI.

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

===========
Maoni ya Mdau
Mzee baba mbona hiyo kawaida! Hii inaweza kutokea popote hata African, kama mzazi mwenye busara ni lazima umusikilize mwanao anachotaka
 
Mhmmm yani leotu hapa mwanangu wa kiume darasa lakwanza anamwambia mamayake amtenge chai daah alicho kipata hatasahau.
 
Baba ulete pipi au naomba chipsi huko ndo kutumwa hujawahi kufanya hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom