Genius Messi
Member
- Oct 14, 2017
- 74
- 52
Kabla ya wimbi la hama hama nilishauri tuachane na siasa hasa hivi vyama, badala yake tujikite kwenye kuijenga nchi.
Nahisi vyama vina gharama kubwa kuvi*run pesa (zikiwamo ruzuku) ambazo hugawiwa vyama husika zingeelekezwa kwenye afya na elimu.
Bado nina imani tukiwa na katiba nzuri Bunge imara, madiwani, mahakama na viongozi wa juu serikalini mambo yataenda vizuri tutakua na umoja na ushirikiano ulio nora kuliko wakati wowote na maendeleo yataonekana.