Nilisahau pesa kwenye atm NMB Branch usalama magomeni

Nilisahau pesa kwenye atm NMB Branch usalama magomeni

EXPULSION

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
407
Reaction score
303
Ilikuwa juzi alhamisi tarehe 04/10 /2018. Nilikuwa na msongo wa mawazo, nilitoa laki NNE, moja nikatoe tena baadae, nikasahau kuichukua. Nawezaje kuipata
 
Kuna mdau yupo humu anatafuta aliyesahau hiyo pesa, tafuta nyuzi za watu mpya uzisome. Km ni wewe muelewane, soma nyuzi mkuu
 
Mkuu msongo wa mawazo au ulikuwa tila lila??

Pole sana,Sema jamaa aliepata mstaarabu alikuwa anakutafuta,

Na pia wewe unaweza kuwa mmoja wa wale walinzi,baada wa kuona uzi wa jamaa umeamua kutake fursa(mawazo tu)

Kila la kheri
 
Kwa mujibu wa mtafutaji wa aliyeacha hela zake ATM sababu iliyopelekea azisahau ni kulewa maana inaonekana alipiga vyombo sana mpk akasahau sasa wewe kwa sababu yako ya msongo wa mawazo ni dhahiri shahiri siyo wewe

Ila pole sana na upunguze mawazo
 
Back
Top Bottom