Nilirudi CCM kisa Hayati Magufuli

Nilirudi CCM kisa Hayati Magufuli

Bora uwe skauti,
Hivi vyama vitakupanda tu
Wewe ndie unaharibu kupata viongozi bora,ni sawa na kiacha mchwa waendelee kula mbao,waondoe utakuwa na nguvu ua kupanga mambo yako tofauti na kukata tamaa
 
Umeongea point kubwa kabisa,sisi wenye miaka 47 sasa hivi imawezekana tukashangilia ushindi wa kuiondoa ccm kaburin,kutokana na kiwango chetu watanzania cha kuishi,
MSIBADILI MAWAZO VIJANA ONDOENI HII CHAMA,NI KUTU MBAYA KABISA
2025 tunaizika ccm kwenye shimo refu isiweze kufufuka Tena Wala kuusikia mzimu wake
 
Mimi mwenyewe kwa mwendo wa huyu mama na watu wake wa upigaji nimeshajitoa CCM.
Haiwezekani mpumbavu mmoja aje atuambie kuwa umeme unakatika sababu ya mitambo haikufanyiwa matengenezo for 5yrs,
kisha ana kuja waziri mkuu anatuambia umeme ni wa uhakikawawekezaji njooni.

then anakuja rais anasema binadamu viburi ng'ombe anakunywa 40 ltrs za maji na tumekata miti ovyo yote ni kuonesha kuwa umeme wa maji haufai ndo maana tuna mgao, huu ukame kweli ndo umekuja kama chafya. Mimi na watu wangu tutakuwa mstari wa mbele kuhakikisha mama hatoboi 2025.
 
Habari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija.

Lakini Sasa naomba tufanye hima jamani 2025 tutafute hata chama Cha kuokoteza tukiweke sio chama hichi cha majizi, maongo, mijityamadili yaani Hawa jamaa imekua sio uchawi tu Ila ni laana. Walimesema warudisha democracy, democracy nikudanganyana
Duh! Sasa hii ndio sampuli ya Watanzania tulionao, hawaangalii maslahi ya Taifa Bali watu (individuals), tuwe na KATIBA ambayo haiangalii watu Bali maslahi mapana ya Taifa
 
Habari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija.

Lakini Sasa naomba tufanye hima jamani 2025 tutafute hata chama Cha kuokoteza tukiweke sio chama hichi cha majizi, maongo, mijityamadili yaani Hawa jamaa imekua sio uchawi tu Ila ni laana. Walimesema warudisha democracy, democracy nikudanganyana
ulipoteza muda wako. Ccm chini ya magufuli ilikuwa na imekuwa kama alishabaab
 
Mimi mwenyewe kwa mwendo wa huyu mama na watu wake wa upigaji nimeshajitoa CCM.
Haiwezekani mpumbavu mmoja aje atuambie kuwa umeme unakatika sababu ya mitambo haikufanyiwa matengenezo for 5yrs,
kisha ana kuja waziri mkuu anatuambia umeme ni wa uhakikawawekezaji njooni.

then anakuja rais anasema binadamu viburi ng'ombe anakunywa 40 ltrs za maji na tumekata miti ovyo yote ni kuonesha kuwa umeme wa maji haufai ndo maana tuna mgao, huu ukame kweli ndo umekuja kama chafya. Mimi na watu wangu tutakuwa mstari wa mbele kuhakikisha mama hatoboi 2025.
Tuliwambia mtakimbiana tu.
 
Je katiba bora na tume huru ya uchaguzi unaitaka? ili tusipate viongozi wabovu tena
 
Habari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija.

Lakini Sasa naomba tufanye hima jamani 2025 tutafute hata chama Cha kuokoteza tukiweke sio chama hichi cha majizi, maongo, mijityamadili yaani Hawa jamaa imekua sio uchawi tu Ila ni laana. Walimesema warudisha democracy, democracy nikudanganyana
Mkuu Kuna kausemi ka wenzetu walioendelea " if you can't fight/ beat them , Join them. Then fight inside them" We jamaa baki humohumo chamani kwako!
MAENDELEO MAFANIKO AU MABADILIKO YATALETWA NA SISI WENYEWE.HAKUNA MTU MWINGINE SIJUI ATOKE MARS ATAKAE ILINDA, IJENGA NA KUITUNZA NCHI YETU NZURI ZAIDI YETU SISI WA TANZANIA WENYEWE!
 
Lakini Sasa naomba tufanye hima jamani 2025 tutafute hata chama Cha kuokoteza tukiweke
Bwashee yani tuokoteze tu chama kama chadema tukipe dhamana ya kuongoza nchi?
Hatuwezi kujichimbia kaburi wenyewe kwa kuifanya nchi kuwa kichwa cha mwendawazimu!
Anayetaka tumpe hiyo dhamana lazima atupruvie kuwa anastahili. Hatuwezi kumkabidhi kichaa rungu la kuongoza nchi, atatumaliza.
 
Habari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija.

Lakini Sasa naomba tufanye hima jamani 2025 tutafute hata chama Cha kuokoteza tukiweke sio chama hichi cha majizi, maongo, mijityamadili yaani Hawa jamaa imekua sio uchawi tu Ila ni laana. Walimesema warudisha democracy, democracy nikudanganyana
Wewe ulikuwa CCM na utaendelea kuwa CCM. Akili yako tu inakuchagulia chama kinachokufaa. Utashawishikaje na mwanaCCM na kuungana naye? Lazima uwe na tatizo kwenye ubongo. Afadhali kubaki bila chama kuliko kuja hadharani useme mwanaCCM alikushawishi. Kuna mwanaCCM ana ushawishi? Anaupata wapi huo uwezo? Naona alikupata kilaza mwenzake
 
Kwani alipoingia CCM ilibadilika? Na sasa hayupo imebadilika??
 
Watu ambao hawana msimamo hawafai

Yaani awamu ya tano watu kuwekwa kwenye viroba kuteswa kwako ndio ukashawishika kurud CCM

Kazi ipo
Watu wa aina hii wana tatizo kwenye akili. Hivi kweli mtu mwenye akili zake anaweza kuwa mwanaCCM? Labda anafuata maslahi fulani. Hivi kuna mwanaCCM mwenye nguvu ya ushawishi ya kumshawishi mwenye akili na akaungana naye? Huyu jamaa nina wasiwasi na uwezo wa akili yake. Tuliokota watu kwenye viroba, risasi nje nje, watu kutekwa na kupotezwa halafu anasema yeye alishawishika na huyo huyo wa kusimamia uovu huo! Kweli kazi ipo.

Nashangaa wanaosema kazi iendelee, nafikiri waseme kazi ipo!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Bwashee yani tuokoteze tu chama kama chadema tukipe dhamana ya kuongoza nchi?
Hatuwezi kujichimbia kaburi wenyewe kwa kuifanya nchi kuwa kichwa cha mwendawazimu!
Anayetaka tumpe hiyo dhamana lazima atupruvie kuwa anastahili. Hatuwezi kumkabidhi kichaa rungu la kuongoza nchi, atatumaliza.
Nini cha zaidi umekipata CCM iliyotutawala mwanzo mwisho tangu unaoitwa uhuru?
 
Habari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija.

Lakini Sasa naomba tufanye hima jamani 2025 tutafute hata chama Cha kuokoteza tukiweke sio chama hichi cha majizi, maongo, mijityamadili yaani Hawa jamaa imekua sio uchawi tu Ila ni laana. Walimesema warudisha democracy, democracy nikudanganyana
Unatahayari miezi nane tu. Bado utaisoma namba
 
Watu wa aina hii wana tatizo kwenye akili. Hivi kweli mtu mwenye akili zake anaweza kuwa mwanaCCM? Labda anafuata maslahi fulani. Hivi kuna mwanaCCM mwenye nguvu ya ushawishi ya kumshawishi mwenye akili na akaungana naye? Huyu jamaa nina wasiwasi na uwezo wa akili yake. Tuliokota watu kwenye viroba, risasi nje nje, watu kutekwa na kupotezwa halafu anasema yeye alishawishika na huyo huyo wa kusimamia uovu huo! Kweli kazi ipo.

Nashangaa wanaosema kazi iendelee, nafikiri waseme kazi ipo!
Usitutukane bwana
 
Habari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija.

Lakini Sasa naomba tufanye hima jamani 2025 tutafute hata chama Cha kuokoteza tukiweke sio chama hichi cha majizi, maongo, mijityamadili yaani Hawa jamaa imekua sio uchawi tu Ila ni laana. Walimesema warudisha democracy, democracy nikudanganyana
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema 'wewe ni malaya wa siasa' huna msimamo kisa unaamini katika mtu na siyo taasisi
 
Back
Top Bottom