Nilirudi CCM kisa Hayati Magufuli

Nilirudi CCM kisa Hayati Magufuli

Superpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
826
Reaction score
921
Habari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija.

Lakini Sasa naomba tufanye hima jamani 2025 tutafute hata chama Cha kuokoteza tukiweke sio chama hichi cha majizi, maongo, mijityamadili yaani Hawa jamaa imekua sio uchawi tu Ila ni laana. Walimesema warudisha democracy, democracy nikudanganyana
 
Kawaida ukijichanganya kijani ukifika getini kwao akili wanaiteka kwa kuwa wanasema hutahitaji kuitumia Tena, kama ulienda kijani na umesalia na akili Yako hongera na karibu tulijenge taifa letu.
 
.....ulikwenda chama dola sio kwa ilani yao ya uchaguzi bali ulifuata kauli za mwendazake!baada ya huyu uliyemfuata kuitwa sehemu wasiporudi walioitwa unataka kugeuka!ni haki yako kikatiba ila waulize wapo wapi akina Azory,na mwenzetu tuliyekua naye humu?Mr.Saanane
 
Wenzako hatufikirii kujiunga na vyama, we think how to kill the government! Yaani tuishi pasipo serikali, tunajaribu kuwashawishi na jamaa zetu wa nchi nyingine to fight kuziondoa serikali za dunia ili binadamu wa enjoy freedom without magereza, shule, medical system, majeshi, banking system nk.

Na dawa yake ni ndogo sana, usilipe kod, usitumie huduma za serikali, na pia usiifanyie kazi serikali na system zake
 
habari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija.

Lakini Sasa naomba tufanye hima jamani 2025 tutafute hata chama Cha kuokoteza tukiweke sio chama hichi cha majizi, maongo, mijityamadili yaani Hawa jamaa imekua sio uchawi tu Ila ni laana. Walimesema warudisha democracy, democracy nikudanganyana
Ccm hasa ni wapi? Hapo uliposimama waweza kuisidia nchi yako bila uchama. Watu wanaosema wanarudi ccm sidhani kama akili zao ni timamu zaidi ya ulafi tu na unafiki.
Huku kurudi bila kutembea au mwendo ni uchawi au nini.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Nje ya CCM hakuna UTULIVU na AMANI iliyopo.....

CCM ndio msingi wa taifa hili.....

#Siempre CCM
 
Habari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija.

Lakini Sasa naomba tufanye hima jamani 2025 tutafute hata chama Cha kuokoteza tukiweke sio chama hichi cha majizi, maongo, mijityamadili yaani Hawa jamaa imekua sio uchawi tu Ila ni laana. Walimesema warudisha democracy, democracy nikudanganyana
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu
 
wewe sio mwanachama wa kweli. wenzio huwa wanabaki kulekule ila wanamsapoti mtu kutokea kulekule. sasaivi jpm hayupo, utarudi nyumbani tena na pengine ulishajisaidia kwenye kambi?
 
Wenzako hatufikirii kujiunga na vyama, we think how to kill the government! Yaani tuishi pasipo serikali, tunajaribu kuwashawishi na jamaa zetu wa nchi nyingine to fight kuziondoa serikali za dunia ili binadamu wa enjoy freedom without magereza, shule, medical system, majeshi, banking system nk.

Na dawa yake ni ndogo sana, usilipe kod, usitumie huduma za serikali, na pia usiifanyie kazi serikali na system zake
Hilo wazo haliwezekani, lazima kutakuwa na chaos

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ni wasio waelewa tu wanaodhani kuwa hayati JPM alikuwa ni zaidi ya CCM.....

CCM ipo na inaendelea kuwepo na bila ya CCM hayati JPM asingejulikana........

SIEMPRE CCM
 
Habari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija.

Lakini Sasa naomba tufanye hima jamani 2025 tutafute hata chama Cha kuokoteza tukiweke sio chama hichi cha majizi, maongo, mijityamadili yaani Hawa jamaa imekua sio uchawi tu Ila ni laana. Walimesema warudisha democracy, democracy nikudanganyana
Umeongea point kubwa kabisa,sisi wenye miaka 47 sasa hivi imawezekana tukashangilia ushindi wa kuiondoa ccm kaburin,kutokana na kiwango chetu watanzania cha kuishi,
MSIBADILI MAWAZO VIJANA ONDOENI HII CHAMA,NI KUTU MBAYA KABISA
 
Back
Top Bottom