Tatzo la shinyanga ni mji mdogo sana......!!
Mtu anaishi Majengo mapya lakini anajua kinachoendelea Ibinzamata....!!
Huyo Kigogo kawachapa sana madents wa Uhuru and Buluba....!!!
Kuna demu naishi nae nyumba moja ya kupanga Majengo mapya... boss alimhonga Cresta GX 100...!!!
Pindi akachepuka kwa vijana wenye nguvu mpya,kasi mpya na ari mpya....!!
Kigogo aliposikia,akaomba ufunguo wa ndiga yake,binti aligoma kutoa....!!
Kesho yake kigogo huyo alileta breakdown akaivuta chuma hadi kwake... binti akabaki na funguo.... za showoff tu..
Now binti anafanya kazi stationary flan hv kwenye flame za ccm jengo la nssf...
Binti anashape,ana makalio balaaaa...!!