Niliponea Chupu Chupu ku-ukwaa

Sasa unamchezeaje? Mate na michubuko mdomoni?vidole na vidonda ?
 
 
ila usimkimbie. tafuta namna nzuri ya kumuacha ili isimuumize akaenda kuumiza wengine.!! Unyanyapaa ndio ambao unasababisha watu waendelee kusambazia watu VVU!!
 
Huyo dada anataka akupime tu imani yako.
Hana ukimwi wala nini
 
Ni kweli nampenda saaana, ila moyo unasita sita coz nahofia naweza kuupata na mm.

Kuoa watu kama hawa ni at your own risk, kubali kuwa lolote litakalotokea utakubaliana nalo.

Kijana pole sana... huyo demu sio bikira ni sound tu.... usiparamie miji utakufa....

Story iko hv... kuna kigogo mmoja alikua bank fulani hapo shinyanga... alikua anamtafuna huyo binti anasoma kolandoto nursing...!!

Huyo kigogo wa bank alihamia mwanza kikazi....

Mke wa kigogo alishawahi mpelekea Tshs 200,000/= (Sema laki mbili) za mazishi huyo binti... maana anajua atakufa kozi pesa ya kuukabili huu ugonjwa hana....!!

Kama ulipiga papuchi... pole yako maana binti anavutia balaa...!!!!
 

Aaaaahhhh JF burudani
 
Hata kununua changudoa ni great great risk... So zile style unazotumia kwa machangu waweza kuzitumia tuu... Maana machangu wengi tayari walishaukwaa...
 
Vaa condom ufungue bk..wewe but @ur own risk
 
My beloved. Dont play with the fire... Dont carry the monkey that is not yours. There are so many ladies out there who are safe...
 
Hata kununua changudoa ni great great risk... So zile style unazotumia kwa machangu waweza kuzitumia tuu... Maana machangu wengi tayari walishaukwaa...

Ukienda kupiga changu acha mbwembwe.... mamabo ya style achana nayo.... piga papuchi toa ukwadu wako sepa!!
Ukianza kuonyesha maujuzi ndo hapo ukimwi mnapoukwaa....!!!
 

Wenye Shinyanga yao hao,
CC:B.G TANTAWI
 

mkuu ni kweli bhana huyo demu yupo hapo kolandoto na yawezekana ni yeye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…