Nilipona kupata UKIMWI nikapata TB

Sijui alikuwa anatafuta kugundua Nini!!?

Yaani umepewa TB na aliyekupa unamjua ukaenda akupe tena. [emoji15]
Mkuu kuna mambo unakuwa kama umefungwa akili aiseh ..

Ila ilipita na siku zimeenda namshukuru Mungu nipo Sawa.
 
Mtu mzima una miaka 34 mnafanyana hampimi, hamtumii kinga, hiyo ni hatari, achana na ukimwi, homa ya ini inakuondoa haraka maana haina tiba, bora huo ukimwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…