Ilapia hongera kwa udhibutu sas tulia agiza vifah China au India za kupimia ziwemo geto nyingi tusema nilifanya nae nikiwa sifahamu na nilikuwa nahisi sina uhakika. Ila nimejifunza kwa njia ngumu.
Ni Mungu tuHIV ina mambo mengi sana. Hongera kwa kujua hali yako ni salama, sasa ujitunze na kujijali
Lakini usiwatenge maana wengi wanaopata sio kwa kupenda na sisi bado tuko safarini
Huu uzi siutaki....unaniletea woga na hofu.
Hii siku bado mbichii ndo kwqnza 10.42am
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uzi unakutisha kuiendea raha🤣🤣🤣🤣🤣
Dah yashanikuta hayo asee kudate na demu muathirika, wacha kabisa sema hakua anajua pia ile pisi asee ni ameumbika balaaa alipewa alipozaliwa.
Nimekuja kuambiwa na bi mkubwa mmoja hivi alikua Dr (RIP), baada ya kuniona nae mara kadhaa na ananifahamu huwa nacheza game na mtoto wake, siku akaniita akaniambia ukweli, kuwa kwa professional yake sio sawa lakini mimi na mwanae tuna ushikaji flani inabidi kuniambia ndo akanichana.
Yule dada amezaliwa nao na wazee wake wanatumia dawa na yeye ndo dr wao aisee kidogo nizime hapo tuna wiki 3 kila nikiomba mzigo anachomoa hata kiss hataki[emoji3]. Nikampotezea halafu from no where akaanza kutaka yeye nikawa namkwepa siku moja tukakutana usiku akanisindikiza akataka kunikiss dah nikamkiss juu tu nikasepa hakuniona tena sijui yuko wapi now.
Usijaribu, kuna kipindi nipo ndani naona watu wanapita nje natamani kuwa kama wao, umakini uwe mkubwa sana.Huu uzi siutaki....unaniletea woga na hofu.
Hii siku bado mbichii ndo kwqnza 10.42am
Nashukuru kwa ushauri na nitatoa sadaka kama ulivyoshauri dada.Katoe sadaka ya shukrani
Kabisa mkuu, maana mwanzo nilivyoumwa na nkawa sawa nikawa naomba Mungu anifunulie nijue nimepata wapi TB maana mimi nilijua labda ni harakati za dar hapa . Ila kumbe sio hivyo nilikuja ogopa na kuugua nilivyojua.Ila Mungu ni mwema sana. Wengi ametuokoa pasi nakujua hatustahili.
Pole sana kile kihoro nilichopitia madhani ulipitia pia, tutulie sana mkuu, ukiumwa kidogo tu unajua tayari ukiamka usiku ukiwaza tu basi usingizi hauji hadi asubuhi.Dah yashanikuta hayo asee kudate na demu muathirika, wacha kabisa sema hakua anajua pia ile pisi asee ni ameumbika balaaa alipewa alipozaliwa.
Nimekuja kuambiwa na bi mkubwa mmoja hivi alikua Dr (RIP), baada ya kuniona nae mara kadhaa na ananifahamu huwa nacheza game na mtoto wake, siku akaniita akaniambia ukweli, kuwa kwa professional yake sio sawa lakini mimi na mwanae tuna ushikaji flani inabidi kuniambia ndo akanichana.
Yule dada amezaliwa nao na wazee wake wanatumia dawa na yeye ndo dr wao aisee kidogo nizime hapo tuna wiki 3 kila nikiomba mzigo anachomoa hata kiss hataki[emoji3]. Nikampotezea halafu from no where akaanza kutaka yeye nikawa namkwepa siku moja tukakutana usiku akanisindikiza akataka kunikiss dah nikamkiss juu tu nikasepa hakuniona tena sijui yuko wapi now.
Dunia inamambo mengi sana tuwe makini na tujue mengi ni ubatili Tu.Mwenyezi Mungu atuepushe na mambo haya ya dunia.
Kabisa mkuu, maana mwanzo nilivyoumwa na nkawa sawa nikawa naomba Mungu anifunulie nijue nimepata wapi TB maana mimi nilijua labda ni harakati za dar hapa . Ila kumbe sio hivyo nilikuja ogopa na kuugua nilivyojua.
Kweli usiombe Mungu akionesha kilakitu kwani kuna mengi ya kutisha anatuepusha nayo bila sisi kujua, itoshe tuseme asante sikuzote
AKILI ni nywele kila mtu ana zake, tuulize sisi tuliokanyaga nyoka tukiona jani tu ndukiNi Mungu tu
Mtu anapima Leo anakuwa negative anajiapisha weee kwamba harudii tena lakini baada ya mwezi anauza mechi tena.
Sex iache tu iitwe sex
mzabzab