Nilipita uwanja wa ndege dar


chanjo gani tena hiyo mkuu? homa ya njano au?
 
Chupi unamwekea nani? watakwambia uibenjue mwenyewe
 
Jamani wacheni masihara Tanzania njaa kali ndio mnaona hayo yanayotokea, swala la uzito wa mzigo kwa check in baggage hasa ni gumu wakati ndege zinapotua EU kwa sababu wako strict mizigo isizidi kiwango kilichowekwa kwa sababu baggage handlers hawaruhusiwi kubeba mzigo unaozidi kilo kama sikosei 30kg inategemea unatua kiwanja gani hata hivyo makampuni bado wanataka kupunguza ili iwe 20kg. Kwa hiyo ni vizuri uwe kwenye ile allowance kuepuka matatizo.


Umasikini wa nchi unakuja pale watu wazima tena unakuta kwa mfano ndege inatua asubuhi unaona kabisa hali ni mbaya na taabani jamaa hata chai hawakunywa aibu sana. Mimi lawama zangu zipo kwa serikali ya JK anatudhalilisha sana na kuwakumbatia wageni.
 
Duh kumbe wengi imetukumba hii, mie nilikoma wakati natoka Mwanza kwenda Mbeya jamani wale watu walitaka niwape samaki nilonunua kwa hela yangu Mwanza, aka nikawa mkali walinikoma wote pale Uwanja wa Ndege hadi wakaniachia tu niende zangu....
 
ni aibu kuona wengi wanachangia hili tukio kwa kuwapa hawa wajinga rushwa!
alafu watu hao hao wanapiga kelele na serikali iliyojaa rushwa! it doesnt make sense to me at all!
When will we stand up for our rights? Cha kusikitisha zaidi ni kuona wasomi nao wanapelekeshwa kama mambumbumbu!
That in itself speaks volume of usomi wa Tanzania!!
 
Kuna wajinga wajinga fulani hukaa pale mlangoni unapotoka wanakuambia tuone passport yako, wanaudhi na wanakera sana
 
isee, hizi njaa zipo almost nchi ze2 za east africa, ila naona kama tz tumezid lol
 
Wanachosha kweli!Hua wanajaribu..ukiwakomalia wanajifanya wamekusamehe ila kama ni mwepesi wa kulipa ndo hivyo tena inakula kwako!
 

Sasa Mchungaji....na wewe kweli unatoa....hii tuiite ni nini rushwaa au takrima? Kweli?!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…