PostGE2025 Nilipigwa risasi kwenye maandamano, nimepona, ila Samia ni sehemu ndogo sana ya tatizo kati ya matatizo makubwa tuliyo nayo

PostGE2025 Nilipigwa risasi kwenye maandamano, nimepona, ila Samia ni sehemu ndogo sana ya tatizo kati ya matatizo makubwa tuliyo nayo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,236
Labda nianze kuuliza kimombo, "Have you ever thought that you will witness someone who is killing people very passionately and proudly, like it is something he was always dreaming of and it is now happening?"

Binafsi nilidhamiria kuandamana hata ningekuwa peke yangu, kuonesha kuwa sikubaliani na uhuni wa huyu mtu.

Kwa bahati mbaya, siku ile nilipigwa risasi, amri ya mwisho saa 12 ilitukuta tukiwa mtaani na ni mbali na nyumbani. Baada ya kujeruhiwa na wengine kupoteza maisha, katika harakati za kujinusuru, niliona sehemu salama ni vichakani/polini na si kujificha kwenye majumba au vichochoro; hilo lilinisaidia ingawa usiku ule ulikuwa mrefu sana.

Nilifika vipi nyumbani na nimetibiwa vipi, hilo tuliache, ila ninachoweza kusema:

Samia ni sehemu ndogo sana ya tatizo. Kwa niliyoshuhudia, kwa kweli vyombo vinavyoitwa vya ulinzi na usalama ni katiri sijapata kuona.

Wapo waliosema sijui ni wa Zanzibar au Waganda, ila mimi nawaambia, wengi kama si wote ni Watanganyika kabisa.

Namna walivyokuwa wanafanya, hata kama umepewa amri, ila jamaa walilifanya hili kwa utashi wao binafsi zaidi. Sijui ni mafunzo wanayopewa au nini, lakini jamaa wana roho mbaya sana.

Baada ya kupigwa risasi, sasa naishi kama ni umri wa ziada tu, moyo ushakufa ganzi moja kwa moja, lakini naisubiri na naamini.

" I WILL LIVE THE DAY TO WITNESS SAMIA IS POWERLESS OR WENT TO GRAVE BEFORE ME, AS SHE AND HER GOONS WANT TO"

VIVA LA MUERTE
 
Vyombo vya usalama nchini Tanzania vinaongozwa na wapumbavu mno. Yaani mijitu mipumbavu haswaaaa.

Mtu mpumbavu siku zote huwa hajiamini, na anapopewa madaraka makubwa ni lazima afanye jambo baya dhidi ya binadamu mwenzake ili ajione mkubwa.​
 
Vyombo vya usalama nchini Tanzania vinaongozwa na wapumbavu mno. Yaani mijitu mipumbavu haswaaaa.

Mtu mpumbavu siku zote huwa hajiamini, na anapopewa madaraka makubwa ni lazima afanye jambo baya dhidi ya binadamu mwenzake ili ajione mkubwa.​
Kwa vyeo vya huku chini ambao ndiyo workforce, kujiunga JW na polisi wanahitaji D moja tu form IV. Ukiwa na D mbili hawakuchukui. Unafikiri ni kwa nini?
 
Kwa vyeo vya huku chini, kujiunga JW na polisi wanahitaji D moja tu form IV. Ukiwa na D mbili hawakuchukui. Unafikiri ni kwa nini?
Muliro ana shahada ya Sheria lakini angalia akili zake. Ile ni laana. Mtu kama Zitto Kabwe huwezi kuamini kwamba kuna siku aliwahi kukanyaga chuo kikuu.

🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮​
 
Nasubiri comments za wake wa Abdul Lucha, gallow bird na Stuxnet

Haya mambo huleta visasi vya milele ndiyo maana nchi ikipitia haya mambo huwa ni vigumu sana kurudi nyuma. Na huu huwa ndiyo mwanzo wa ugaidi na vikundi cha waasi. Naam! Adui unayemuweza kamwe usimwachie Mungu!

Nakuombea 🙏🏿
It doesn't matter uniite jina lolote, but this is self inflicted pain, no sympathies
 
Back
Top Bottom