Nilipata ulemavu sababu ya Mapenzi

pole sana mkuu, hayo ndio maisha, kama sio ulemavu wa mwili basi ulemavu wa donda roho...akili yote inachokaunaweza ukadhani mpenzi wako wa zamani alikua jini/pepo sio mtu..pole sana.
 
pole sana mkuu, hayo ndio maisha, kama sio ulemavu wa mwili basi ulemavu wa donda roho...akili yote inachokaunaweza ukadhani mpenzi wako wa zamani alikua jini/pepo sio mtu..pole sana.
asante dada, magumu japo yanatukomaza ila yanatuumiza pia na kutunyima furaha.
 
asante dada, magumu japo yanatukomaza ila yanatuumiza pia na kutunyima furaha.

Nakubali tunajifunza na kukomaa,kinachoumiza kwa nini sisi na sio wengine mkuu...majeraha yanapona lakini yanaacha kovu,kila siku ukiliona kovu unakumbuka matatizo yaliyokukuta,.........very sad.
 
Kinachifanya nisisamehe mpaka sasa na kuishi huru ni makovu ya hii hali yangu, usemacho ni kweli kabisa, ndiyo nitajotahidi kusahau dakika mbili tu ya tatu utajikuta unarudi palepale kusahau ni ngumu na maumivu ndio hayo hayapungui moyoni

Ni hivi, chukulia maisha ni kama uko gerezani (prison) ukizubaa tu watu watachukua advantage hata kukuua( Men and Women).

Of course ukiwa na madaraka, influence, tajiri, educated, smart wanaweza kujifanya kukupenda. Ukipoteza hizo sifa ndio utawajua vizuri.
 
Pole sana kakangu.
Jambo la kwanza ondoa kichwani mwako dhana kwamba wewe ni mlemavu,unauwezo wa kufanya makubwa. Jambo la pili jitahidi kusahau hayo yaliyopita na huyo mpenzi wako basi.
USHAURI KWA WANAUME WENZANGU.
Tuepuke sana kuwekeza kwa watu tunaotegemea kuwa wake zetu,wekeza na mke wako wa ndoa sio mchumba.
Huyu bro yeye alikua anaishi kwingine na demu wake kwingine,hii inamaana hawakua mke na mume lkn jamaa akadiriki hata kwenda kukopa kwa ajili ya mchumba tu. Inauma sana.
 
asante kwa ushauri kaka.
 
Usiumie kwa ajili ya mwanamke.
Hukuzaliwa naye.
 
Huyo mwanamke dini gan?
 
Pole ndugu, maisha ni fumbo kubwa sana, mkombatie yesu ni mkombozi wa kila kitu
 
Tunajifunza pia tusiaminiane kihivyo
 
Pole
 
Imagine kuna mwanamke alinumiza moyo wangu mpk sasa nashindwa kumsamehe he wewe uliepata majanga ya ulemavu for life utamsamehe?

Mmh pole sana lakini Mara nyingi wanaume huwa tunajitakia wenyewe,mkopo kwa mpenz kwel?
 
Tupende kwa kiasi, mimi napenda sana ila huwa nakua mwangalifu sana sitaki matatizo
 
Imagine kuna mwanamke alinumiza moyo wangu mpk sasa nashindwa kumsamehe he wewe uliepata majanga ya ulemavu for life utamsamehe???

Mmh pole sana lakini Mara nyingi wanaume huwa tunajitakia wenyewe,mkopo kwa mpenz kwel???
Songa na maisha mengine sahau, kutosamehe ni kuongeza sumu
 
Pole sana mkuu! Amini Mungu hatokuacha kamwe, mtumainie yeye yuko katika mtihani wa maisha! Kuna usemi unasema ....Sometimes God lets you pass through certain hardship so that you learn something!
Amini kabisa Mungu ana maana makusudi yake na hali unayopitia! Kumbuka hapa duniani sisi sote ni wapita njia! Anyway Mungu akufanyie wepesi wa kila jambo, ila nimepata uchungu mkubwa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…