Malengo yako ni kusoma md au kosoma muhas?Husika na kichwa hapo juu
Ndugu zangu wapendwa naomben ushauri wenu
Kwan mwaka huu nilihitimu kidato cha sita kwa ufaulu wa division two ya 12 nikiwa na D flat kweny combination yangu ya PCB
Kwa ndoto zangu ninataman kuwa Doctor (MD) lakin kulingana na ufaulu wangu naona itakuwa vigumu kupata chuo cha serikali kama vile Muhas hivyo nahisi nitakuwa na Uwezekano wa kupata vyuo binafsi ambavyo kiuhalisia familia yangu haipo vizur kiuchumi kunipeleka huko
Hivyo nimefikiria ku-resit mtihan mwakan ILI nipate ufaulu mzuri utakao nipelekea kuchukuliwa katika vyuo vya serikali
Baadhi ya watu waliniambia nisome Diploma ya Clinical Medicine lakin huko nako naona gharama zitakuwa kubwa ambazo sitaweza kuzimudu tena isitoshe itanichukua muda mrefu kwa Mimi kuifikia ndoto yangu
naomben ushauri wenu ndugu Jinsi ya kufanya ili kufaulu kama Private Candidate especially kwa comb ya PCB ikiwezekana hata kituo kizur cha kusomea kwa bwen
1. Kanuni za kurudia mtihani unazijua kwa kipindi hiki? (binafsi sizijui) ila kuna miaka fulani ulikuwa ukirudia mtihani wanafuta kikao cha nyuma. i.e matokeo yanayosimama ni ya kikao ulichorudia. Fuatilia hilo ulijue usije ukajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe.Husika na kichwa hapo juu
Ndugu zangu wapendwa naomben ushauri wenu
Kwan mwaka huu nilihitimu kidato cha sita kwa ufaulu wa division two ya 12 nikiwa na D flat kweny combination yangu ya PCB
Kwa ndoto zangu ninataman kuwa Doctor (MD) lakin kulingana na ufaulu wangu naona itakuwa vigumu kupata chuo cha serikali kama vile Muhas hivyo nahisi nitakuwa na Uwezekano wa kupata vyuo binafsi ambavyo kiuhalisia familia yangu haipo vizur kiuchumi kunipeleka huko
Hivyo nimefikiria ku-resit mtihan mwakan ILI nipate ufaulu mzuri utakao nipelekea kuchukuliwa katika vyuo vya serikali
Baadhi ya watu waliniambia nisome Diploma ya Clinical Medicine lakin huko nako naona gharama zitakuwa kubwa ambazo sitaweza kuzimudu tena isitoshe itanichukua muda mrefu kwa Mimi kuifikia ndoto yangu
naomben ushauri wenu ndugu Jinsi ya kufanya ili kufaulu kama Private Candidate especially kwa comb ya PCB ikiwezekana hata kituo kizur cha kusomea kwa bwen
Unapofanya maamuzi ya kurudia mtihani, jua umeamua kucheza mchezo wa pata potea. Kwa dunia ya sasa hakuna hasara mbaya kama ya kupoteza muda.1. Kanuni za kurudia mtihani unazijua kwa kipindi hiki? (binafsi sizijui) ila kuna miaka fulani ulikuwa ukirudia mtihani wanafuta kikao cha nyuma. i.e matokeo yanayosimama ni ya kikao ulichorudia. Fuatilia hilo ulijue usije ukajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe...
Ndio nazifuatilia ili nizijue vzur mkuu1. Kanuni za kurudia mtihani unazijua kwa kipindi hiki? (binafsi sizijui) ila kuna miaka fulani ulikuwa ukirudia mtihani wanafuta kikao cha nyuma. i.e matokeo yanayosimama ni ya kikao ulichorudia. Fuatilia hilo ulijue usije ukajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe...
Kwani udom sio chuo cha serikali? Bugando je?Kusoma md chuo cha serikali mkuu
No 1 nadhani ni kipindi hiki kama sikosei maana mwaka2013 hapakuwa na mambo ya kufuta vikao vya nyuma kwaiyo aangalie sana1. Kanuni za kurudia mtihani unazijua kwa kipindi hiki? (binafsi sizijui) ila kuna miaka fulani ulikuwa ukirudia mtihani wanafuta kikao cha nyuma. i.e matokeo yanayosimama ni ya kikao ulichorudia. Fuatilia hilo ulijue usije ukajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe.
2. Kanuni za udahili zikoje kwa watu wenye kikao zaidi kimoja, nakumbuka kwenye ualimu wa GRADE A zamani, ilikuwa ili kujiunga na mafunzo ilitakiwa angalau uwe na div. 4.26 kwa kikao kimoja kwa aliye na kikao zaidi ya kimoja uwe na credit pass 4(yaani C nne.) sasa unatakiwa kujua kwa undani kanuni zikoje, hasa ukirudia mtihani halafu Somo Y ukapata A, somo X ukapata E na somo Z ukapata D. Siku hizi NECTA sidhani kama wanaunganisha cheti.
Itaendelea.......
Well said brosBila shaka una muda wa kutosha sana kama unawaza kurudia mtihani! Kwa ushauri wangu songa mbele kwa kwenda chuo chochote kama inaruhusu kusoma hiyo MD au chukua Diploma in clinical medicine Degree ya medicine toka MUHAS utafuata ukiwa na kazi (CO) na pesa (mshahara) ila siyo kurudia mtihani ambapo unaweza rudia na ukapata four ya 18 with flat S
Yani ungenikuta zile enzi zangu za kupiga bapa ningeshakupa tusi moko, anyway mbona umefaulu vizuri tu nia yako ni kusoma MD uitwe dokta kamaa niivo mbona unaweza soma hata economics na ukaitwa dokta tu anyways in any action lazima kuwe na plan b endapo ya kwanza imefeli ingawa kurudia mtihani wakati umefaulu tu vizuri ni kupoteza mda tena sana ingekuwa umefel hapo sawa alaf kuna mkopo sikuizi wala haiangalii private ama serikali unaweza pata ingawa ushachelewa dilisha lishafungwa nadhaniHusika na kichwa hapo juu.
Ndugu zangu wapendwa naomben ushauri wenu
Kwan mwaka huu nilihitimu kidato cha sita kwa ufaulu wa division two ya 12 nikiwa na D flat kweny combination yangu ya PCB
Kwa ndoto zangu ninataman kuwa Doctor (MD) lakin kulingana na ufaulu wangu naona itakuwa vigumu kupata chuo cha serikali kama vile Muhas hivyo nahisi nitakuwa na Uwezekano wa kupata vyuo binafsi ambavyo kiuhalisia familia yangu haipo vizur kiuchumi kunipeleka huko
Hivyo nimefikiria ku-resit mtihan mwakan ILI nipate ufaulu mzuri utakao nipelekea kuchukuliwa katika vyuo vya serikali
Baadhi ya watu waliniambia nisome Diploma ya Clinical Medicine lakin huko nako naona gharama zitakuwa kubwa ambazo sitaweza kuzimudu tena isitoshe itanichukua muda mrefu kwa Mimi kuifikia ndoto yangu
naomben ushauri wenu ndugu Jinsi ya kufanya ili kufaulu kama Private Candidate especially kwa comb ya PCB ikiwezekana hata kituo kizur cha kusomea kwa bwen
pointBila shaka una muda wa kutosha sana kama unawaza kurudia mtihani! Kwa ushauri wangu songa mbele kwa kwenda chuo chochote kama inaruhusu kusoma hiyo MD au chukua Diploma in clinical medicine Degree ya medicine toka MUHAS utafuata ukiwa na kazi (CO) na pesa (mshahara) ila siyo kurudia mtihani ambapo unaweza rudia na ukapata four ya 18 with flat S
Kwa hiyo mwaka huu huja apply kokote?Husika na kichwa hapo juu.