Nilipanga kusave laki 2, hatimaye nimesave laki 4 kwa mwezi. Nimefanikiwa kutumia Tsh 374,200/= kwa siku 28, ninaishi Geto.

Kusave hela ni utayari tuu. Pamoja na matumizi yangu ya hovyo hovyo kwa mwezi nasave not less than 600k (laki 600 upatu ambapo kuna upatu wa 300k kwa mwezi, kuna 150k kwa mwezi na 30k kila week na Vicoba naweka kuanzia 50k na kuendelea inategemea na upepo wa huo mwezi).

Hamna raha kama upokee hela yako uifanyie ulichopanga kufanyia unakua kama mshindi vile.
 
Yaan mie km nitapokea hela yote bas itakuwa mara yangu ya 1 .mie michezo wananidhulumu..kikoba nimeweka weee..ikafikia kipindi nikope nikagundua wanakopeshana wenyew... yaan shida sana jaman...!nikaishia kupewa tu gawio langu...wananioneaga mno
 
Kitu kigumu hikii nilianza kusave laki mbili kumbe ni kazi kubwa aisee kuna kipindi nimeweka 30000 tu mambo mengii kweli ila mwisho wa mwenzi huu naweka laki mbili kwenye malikia akaunt yangu
Ila kutunza pesa inahitaji moyooo yaan ujibane haswa
 
Kusave hela ni utayari tuu. Pamoja na matumizi yangu ya hovyo hovyo kwa mwezi nasave not less than 600k (laki 600 upatu ambapo kuna upatu wa 300k kwa mwezi, kuna 150k kwa mwezi na 30k kila week na Vicoba naweka kuanzia 50k na kuendelea inategemea na upepo wa huo mwezi).

Hamna raha kama upokee hela yako uifanyie ulichopanga kufanyia unakua kama mshindi vile.

Mimi laki mbili tu ndio najitahidi nataka siku moja niweke laki 5 ila ni kazi kubwaa nidhamu ya hali ya juu
 
Wabeja sana.
Naomba nikufundishe. Kama Ni muajiriwa, nenda bank yako unayopokelea mshahara, fungua sub reference account (Inazaliwa kutoka kwenye account yako kuu).

Ukifanikiwa omba kufanyiwa/kutengenzewa standing order (Mshahara ukiingia unakatwa kiasi fulani moja kwa moja kutoka kwenye account yako na kuwekwa kwenye ile sub reference account. Utakuwa umeamua unataka kuserve kiasi gani. Ambacho huruhusiwi kuchukia hela kwenye hiyo account hadi muda mliokubaliana ufike.

Hiyo sub account unaifanya fixed ambayo hutoitumia kuanzia miezi sita na kuendelea kulingana na malengo yako.

Kama Ni mwanamke unafungua sub account ya Malkia unawekewa kwa muda utakaohitaji kuanzia miezi sitta. Unahakikisha hela unayobaki nayo ni mahitaji muhimu na emergency kiasi.

Hutojutia, malengo utayatimiza vizuri tu. Mara nyingi baadhi ya matumizi ni kuiendekeza nafsi. Ukiwa huna huwezi Fanya matumizi yasiyo ya msingi. Utazidi kuwa makini usiaibike na mwisho wa siku inakuwa life style yako.

Ni ushauri tu, Unaweza kuufuata kama utaona utakufaa.
 
Yaan mie km nitapokea hela yote bas itakuwa mara yangu ya 1 .mie michezo wananidhulumu..kikoba nimeweka weee..ikafikia kipindi nikope nikagundua wanakopeshana wenyew... yaan shida sana jaman...!nikaishia kupewa tu gawio langu...wananioneaga mno
Pole jamani. Nina bahati sijawahi tapeliwa hela ya mchezo.
Vicoba nilitapeliwa na Vicoba ya wakina mama na mama angu alikuwepo sema wale wamama wakawa wanakopa hawarudishi
 
Na mm niliingia kikoba cha wamama wa mujini .ht kufikiriwa upewe hakuns...hii tym nahis Mungu atanisaidia..thou watu wenyew siwsjui..nafikiria zaid ushauri wa@Sebakujiwe
 
Back
Top Bottom