Niliomba kujitolea kwenye NGO, niende au niendelee na mambo mengine?

goncalo

JF-Expert Member
Aug 25, 2021
319
163
Habari ndugu wana JF Mimi ni kijana niliemaliza chuo mwaka 2021 katika program ya bachelor of education in psychology chuo kikuu cha Dodoma, sasa kuna NGO moja niliomba kama volunteers hapa Sumbawanga inajihusisha na masuala ya Gender based violence na psychological services kwa wenye uzoefu mnipe ushauri niende au nifanye mambo mengine tu natanguliza shukrani
 
Habari ndugu wana JF Mimi ni kijana niliemaliza chuo mwaka 2021 katika program ya bachelor of education in psychology chuo kikuu cha Dodoma ,sasa kuna NGO moja niliomba kama volunteers l hapa sumbawanga inajihusisha na masuala ya Gender based violence na psychological services kwa wenye uzoefu mnipe ushauli niende au nifanye mambo mengine tu natanguliza shukrani
Unfortunately, hayo mambo mengine hujayasema ili tuwe na uwanja mpana sana wa kukushauri... Kwa ambavyo umesema hadi sasa, NAKUSHAURI UENDE... Maana kukaa tu home si sawa
 
Wahi fursa kijana usibaki mtaani
 
Unfortunately, hayo mambo mengine hujayasema ili tuwe na uwanja mpana sana wa kukushauri... Kwa ambavyo umesema hadi sasa, NAKUSHAURI UENDE... Maana kukaa tu home si sawa
Daah nilikuwa nataka nijichanganye kwenye magari aise ndo mn nikaomba ushauri kwa wazoefu mn s vibaya ukiomba ushauri kwa wadau
 
Sawa, na ukumbuke hili... UNAPOFANYA KAZI ISIYO PROFESIONAL YAKO, unakuwa na vteti usivyo na uzoefu navyo practically, na unakuwa na uzoefu usio na vyeti nao... Lakini ni bora ya hivyo kuliko kukaa... Maana mwenda bure si sawa na mkaa bure, huenda akaokota
 
Nimekupata vizuri kiongozi
 
Habari ndugu wana JF Mimi ni kijana niliemaliza chuo mwaka 2021 katika program ya bachelor of education in psychology chuo kikuu cha Dodoma ,sasa kuna NGO moja niliomba kama volunteers l hapa sumbawanga inajihusisha na masuala ya Gender based violence na psychological services kwa wenye uzoefu mnipe ushauli niende au nifanye mambo mengine tu natanguliza shukrani
Unaomba ushauri wa kwenda kuomba kujitolea? Maana hujasema kama ulijibiwa na ukapata hiyo nafasi ya kujitolea.
 
Yani nimeshapata nafasi yakwenda kujitolea mana niliomba wakanambia kuanzia juma3 ya wikii hii niende kuanza rasmi
Me naona nenda tu maana ungepaswa kuomba ushauri kabla ya kuomba. Kwakuwa umeshapata nenda tu. Hizo NGOs huwa zinaproject nyingi, inaweza tokea ukapata hata nafasi ya data collection
 
Me naoma nenda tu maana ungepaswa kuomba ushauri kabla ya kuomba. Kwakuwa umeshapata nenda tu. Hizo NGOs huwa zinaproject nyingi, inaweza tokea ukapata hata nafasi ya data collection
Sawa sawa kiongozi nimekupata vizuri
 
Back
Top Bottom