Ukitaka kuomba kazi serikalini inakuwaje? Mfano Ikulu au Mambo ya Nje inakuwaje?
Nikiangalia majina ya wanaongia huko kuna kama ka harufu ka undugunization. Mtu unakuwa unazumza lugha saba za kimataifa; umebobea kwenye sheria za kimataifa na uchumi. Hivi yale matangazo huwa ni geresha tu ama? Au tayari nao wamekuwa kama Ilinwaa - Chicago?
Kwa nini majina yote yanashikamana na awamu ya pili, ya tatu na sasa ya nne(ukijuisha na majeruhi wa siasa za Kubaka uchumi)
Haya naomba msaada tutani... huwa maombi yanaendaje?