Niliomba Kazi Mambo ya Nje

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Ukitaka kuomba kazi serikalini inakuwaje? Mfano Ikulu au Mambo ya Nje inakuwaje?

Nikiangalia majina ya wanaongia huko kuna kama ka harufu ka undugunization. Mtu unakuwa unazumza lugha saba za kimataifa; umebobea kwenye sheria za kimataifa na uchumi. Hivi yale matangazo huwa ni geresha tu ama? Au tayari nao wamekuwa kama Ilinwaa - Chicago?

Kwa nini majina yote yanashikamana na awamu ya pili, ya tatu na sasa ya nne(ukijuisha na majeruhi wa siasa za Kubaka uchumi)

Haya naomba msaada tutani... huwa maombi yanaendaje?
 
Huenda sifa ulizonazo kwenye vyeti na uzoefu hazijionyeshi kwenye "personality" yako ikipimwa na ile inayo endana na ofisi unayoomba. Usikate tamaa thou kwani mazingira na mabosi hubadilika.
 
Huenda sifa ulizonazo kwenye vyeti na uzoefu hazijionyeshi kwenye "personality" yako ikipimwa na ile inayo endana na ofisi unayoomba. Usikate tamaa thou kwani mazingira na mabosi hubadilika.

Vigezo nilikuwa navyo mkuu bali cha kushangaza ni kwamba barua ya kuitwa kwenye orientation nilikuwa nayo tatizo ni kuwa memo ilitoka "kwa wakubwa" hili kijana wake apate kazi !! kwa hiyo nikaambiwa wamesitisha zoezi mpaka hapo baadaye ....leo mwaka wa 2
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom