Itakuwa majiniWalinzi wako ni kina nani?
Mjukuu wa mzee Mpili nini????????πππila mi ni wale wanawake ambao nikiwa na mwanaume basi bahati hazimkauki (nna walinzi)
Hawa walinzi wako ni wa aina gani na mimi nina tamani sana kuwa na walinzi ili niweze jua nani ana nifaa kwenye mahusiano. I wish kwa kweliJamani, kichwa cha Habari kinajieleza.
Mimi nilikuwa na mwanaume nimemzidi miaka 10, mwanzoni hata haikuwa serious maana tuko tofauti,
ila mi ni wale wanawake ambao nikiwa na mwanaume basi bahati hazimkauki (nna walinzi)
Baada tu ya miezi 3 nikapata kazi na kijana akapata kazi ya pili tena yenye kipato, sikushangaa najijua, ila sasa akabadilika, tukikutana haogi anaenda hivyo hivyo kwenye mizunguko.
Mara nikilala kwake nanyolewa nywele na yeye anakuwa wa Kwanza kuona nimenyolewa. Sasa juzi nimeacha kazi na yeye akaacha siku hiyo hiyo.
Naona hayo yote ila bado niko nae tu. Sasa saivi nikiwa nae naumwa Homa ya ajabu, (walinzi hawamtaki, wamemchoka anavyoninyanyasa)
Yani mpaka walinzi wameingilia Kati, hali ilikuwa mbaya ndugu zangu.
Kuweni makini kwenye mahusiano, kuweni makini.
Jamani, kichwa cha Habari kinajieleza.

Mi sikujua hata nnao, ila wakawa active baada ya kuona nafanyiwa uchawi, nimelala na adui, nimempa papuchi adui, maisha magumu sanaHawa walinzi wako ni wa aina gani na mimi nina tamani sana kuwa na walinzi ili niweze jua nani ana nifaa kwenye mahusiano. I wish kwa kweli