ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,733
- 24,812
W
Wanaume wa wapi eti hahahahaYaani,baada ya kula Rungu la kichwa ukapata nguvu ya kuendelea bila shaka halikua Rungu la mti wa mninga hilo,ungekufa ujue[emoji1] [emoji1] [emoji1] wanaume wa mikoanii, nimecheka hadi nimelia eti nikapigapiga miguu[emoji1]