Ndo mimi hapa sema tu hukujieleza vizuri ndomana nikakupotezea😎Pole na hongera sana.
Mimi pia nina experience ya kutaka kuzama majini….Nikaapa kumtafuta aliyeniokoa nimlipe fadhila. Nikamtafuta huko fesibuku nikampata, unfortunately akanipotezea.
Umenikumbusha Fred huyo ni mdogo kwangu ila tupo lika moja ni dogo mtundu mtundu Toka udogoni....View attachment 3461356Nimeona ni share hii Hadith yangu fupi ya utotoni.
Nilipo kuwa mdogo, miaka karibu 4–5, nilienda na watoto wenzangu kuogelea mtoni 🌊. Tulivua nguo kama kawaida. Mimi, kwa udogo wangu, sikuwahi kuogelea 🫣, hivyo nilichezea pembezoni mwa maji machache.
Wenzangu waliniita: “Njoo hapa, sio kirefu!” 🗣️
Niliwaamini… na hatua chache baadaye, niligundua nimeshuka kwenye kina kirefu 😱!
Kwa hofu, nilianza kutapika na kuomba msaada 😢… Maji yalinibeba hadi karibia maporomoko ya maji ⛰️💦 – mahali ambapo ningeweza kupoteza maisha.
Ndipo niliposikia sauti ya “Nishike!” 🙌
Ilikuwa Dickson, jirani yetu na rafiki wa karibu, akiniokoa 💖. Siku hiyo, nilikumbuka wazazi wangu na machozi yalidondoka 😭.
Tangu siku hiyo, niliogopa kuogelea 😔. Lakini baada ya muda, niliweza kusahau hofu ✨ na nikawa mjuzi wa kuogelea 🏊.
Moral:
🫶 Kuamini rafiki wako kwa busara
🫶 Kuangalia hatari kabla ya hatua
🫶 Thamini maisha kila siku
🙌 Kufanya kitu kwa uwezo wako/ wakati.
Leo, ninaogelea kwa ujuzi na kwa shukrani kwa zile siku za hofu na miujiza 🙏💛
Fadhila nipe Mimi mkuu 😊🤓Pole na hongera sana.
Mimi pia nina experience ya kutaka kuzama majini….Nikaapa kumtafuta aliyeniokoa nimlipe fadhila. Nikamtafuta huko fesibuku nikampata, unfortunately akanipotezea.
Pole kwa hilo, waweza jifunza taratibu. Face u greatest fear. Mimi naogopa zaidi nyoka ila nilishauwaga nyoka mara kadha ila kwa sasa sitaki kuwaua tena labda ikilazimika naendelea kujifunza juu yao. Nikiingia msituni lazima nijiconnect na ardhi na miti ili aniepukeUmenikumbusha Fred huyo ni mdogo kwangu ila tupo lika moja ni dogo mtundu mtundu Toka udogoni....
Tuka chukua baiskeli tuka ride kuelekea SITE kwao nje ya mjiiiii tuka Kuta bwawa kubwa SANAAAAAA Yale wanayo chotaga/ chimba mchanga kulikua na vijana mbali mbali wakijilusha kwenye majii...
Hiyo ndio ilikua mwanzo na mwisho wa Mimi kuogelea/ nakumbuka sikuwai kuogelea in my life time so nikajilusha kwenye majii mengi nilipo tua nikawa naanza kuzama nikaita watu niokoeni...
Nakunywa maji mdomoni masikioni puanii nikatapatapa mpaka kwenda kunasa kwenye matope / asikwambie mtu nikanasa kwenye tope Huku natapatapa na kunywa vikombe vya maji ndipo jamaa wakanifuata kuninasua kwenye topeeee
Masikitikooo makubwa yaani nikaanza kukamuliwa maji tumboni, nikawa masikio yameziba kwa kujaa maji nikawa nayatoa maji masikionii ile siku udogoni ndio ILIKUAGA MWANZO NA MWISHO WA MIMI KUOGELEA SIOGELEI KWANGU NI MWIKO KABISA KABISA NI MWIKO MIMI NI MTAZAMAJIII
Sijawai tamani ku ogelea tena masikio yaliziba kwa wiki nzimaa si jawai tamani tena kuogelea Wala kusogea karibu na majiii
min -me , Mimi SIOGELEI KWANGU NI MWIKO KABISA.Pole kwa hilo, waweza jifunza taratibu. Face u greatest fear. Mimi naogopa zaidi nyoka ila nilishauwaga nyoka mara kadha ila kwa sasa sitaki kuwaua tena labda ikilazimika naendelea kujifunza juu yao. Nikiingia msituni lazima nijiconnect na ardhi na miti ili aniepuke
Pole sana mkuu.min -me , Mimi SIOGELEI KWANGU NI MWIKO KABISA.
Nimesoma bukoba , Rocky city second home, Huku dar nipo nipo sanaa siogelei Wala sitokuja kuogelea nilinusurika kifo kwenye majii udogonii
Kwanza hata kwenye swimming pool siogelei sembuse kwenye ziwa au baharini au mtoniiii..
SIOGELEI SIOGELEI KWANGU NI MWIKO KABISA KABISA
Aisome Monetary doctor
Asante sanaaaaaa ndugu yangu Mimi kwa Sasa ni MWIKO KABISA KABISA kuogelea kaka.Pole sana mkuu.
🤔🤝👍min -me , Mimi SIOGELEI KWANGU NI MWIKO KABISA.
Nimesoma bukoba , Rocky city second home, Huku dar nipo nipo sanaa siogelei Wala sitokuja kuogelea nilinusurika kifo kwenye majii udogonii
Kwanza hata kwenye swimming pool siogelei sembuse kwenye ziwa au baharini au mtoniiii..
SIOGELEI SIOGELEI KWANGU NI MWIKO KABISA KABISA
Aisome Monetary doctor
😁😁Waweza nilipa mm 🤣🤣🤣👍
Hahaha! MkuuNdo mimi hapa sema tu hukujieleza vizuri ndomana nikakupotezea😎
Hahaha!Fadhila nipe Mimi mkuu 😊🤓
Nipo bar nikishalewa nakutafutaHahaha!
Fadhila inalipwa kwa mtenda.
Ni miaka mingi imepita, sidhani kama anakumbuka.
Nilimwandikia sms inbox yake FB na kumweleza lile tukio, nikaacha namba yangu anitafute mpaka leo hii hajanitafuta.
Ni PM namba yako ili nimkumbushe au nimekukomalia sana 😁😁😁Hahaha!
Fadhila inalipwa kwa mtenda.
Ni miaka mingi imepita, sidhani kama anakumbuka.
Nilimwandikia sms inbox yake FB na kumweleza lile tukio, nikaacha namba yangu anitafute mpaka leo hii hajanitafuta.
Sinaga urafiki na maji,,, aseeh mimi hata daraja kma sio refu nashindwa kuvukamin -me , Mimi SIOGELEI KWANGU NI MWIKO KABISA.