Nilimwambia usimkubalie kama tahadhari

Nilimwambia usimkubalie kama tahadhari

mkuu umefanya jambo jema sana. kwa kujua kwako boss ni kiwembe na wadada wamekuwa wakilia inatosha kabisa kumuonya rafiki yako huhitaji kuwa dokta. usingefanya dhamira ingekusuta sana. achana na wanaokuponda, wanapost kwa kuigana.

Ushauri wako kwa jamaa ni mzuri ila zipo hatari tatu mbele yake na zote zitamuumiza yeye. Kwanza kwa vyovyote kama boss ni kiwembe na tayari wameshaanza kujipumzisha hotelini ni wazi kuku kaliwa. Pamoja na ushauri na tahadhari aliyopewa mwanadada lakini hakusikia uelewe nae haukuwa na uzima wowote nae ni muathirika na alijijua ila hakumwambia kijana. Alimkubali boss kuvuta mkwanja. Kwa vyovyote na ili mkwanja uwe mnono ni lazima alimweleza yote uliyomwambia kumhusu boss na kama ubinadamu wa boss wako ukiwa low lazima atakushughulikia. Hasara ya mwisho kwako ni kuwa kama binti alikuwa muathirika ila akakuficha jihesabu na wewe hauko salama. Nakushauri ukimbilie angaza kujua afya yako.
 
Ashakwambia atajua namna ya kumhandle, sasa unawasiwasi wa nini, mwenzio anataka masrai apo ila halambwi ng'ooooo!!
 
Duuh kweli watanzania wengi wanatatizo la uelewa mtu hawezi kuathirika na ukimwi bali anakua ameathirika na HIV ukimwi ni stage katika huko kuathirika...!! kama ametembea nae lazima atamwambia tu kwamba ulimwambia kua jamaa ana HIV...
 
Huyo binti alidhani pengine unamuonea wivu na unamtaka.
Nimewahi kuona case kama hiyo....my sista alikuwa na mpenzi wakaachana, baada ya kuachana akasikia yule mwanaume anamfukuzia mtu mwingine aliyekuwa mke wa mtu anayeaminika alikufa kwa ngoma. Kwa sababu walikuwa na mawasiliano bado my sista akajaribu kumshauri kwamba unapoenda pale sipo si ulimuona mumewe alivyokuwa anafungwa nepi? (kipindi hicho dawa za kupunguza makali hazikuwa za bwelele kama ilivyo sasa). Yule mwanaume hakuelewa akadai wivu unamsumbua na kashfa nyingi juu. Akaendelea akaweka ndani.....hivi ninavyoandika wote wawili ni marehemu.
wapumzike kwa amani
 
kazi kitu gani bwana

ni vyema kumwambia rafiki yako bwana pale si salama

kwani viwembe hamuwajui na ka,a mtoa mada alivyosema kuna wadada walirudi wanalia hii inahashiria baada ya kujua wameukwaa sasa unataka nini tena hapo

marafiki hulindana
 
bora kamwambia ukweli. nitamaa mm niliomba kazi nikapewa fursa na boss nichague popote ninapotaka kwenfda hata nje ya nchi. sikumtafta na kazi nimekosa na maisha yanasonga

umetisha dada kama mi kweli. hako ka boyfriend kako kakikuzingua urudi humu nikupe mchumba. maana kwa kizazi cha smartphone hiki binti kubania papuchi kwenye mkwanja ni ngumu sana
 
usipokufa kwa ukimwi utakufa kwa lołote
 
Back
Top Bottom