Nilimwambia usimkubalie kama tahadhari

Nilimwambia usimkubalie kama tahadhari

Ulimshauri vizur Sawa, but Sio vizur kumuongelea mtu vibay coz mwisho wa siku we ndo utaonekana mbaya.. imagine kama boss wako kaambiwa hayo yote, utakuwa fungu gani au ushajiandaa kuhama ofisi? Think big
 
kumuita mtu mgonjwa while hauko sure ni kuhisi tu na ku guess guess sio vizuri.....inawezekana huyo binti anaijua vizuri status yake ndo maana kaamua kujilipua.......yawezekana mgonjwa ni binti aliepaswa kuwa warned ni huyo Boss...all in all ujifunze kuto ongea yale ambayo ukiulizwa 'evidence' huwezi kutoa.....

Take five
 
Unajisifu umbea, we ni doctor mpaka ujue boss ni mgonjwa, ukiulizwa wewe umetembea na wanaume wangapi utawataja? je uo nao CIO umalaya?
 
Sijui ni tama au ujinga au ndio style yake!!!Ninafanya kazi wizara Fulani mkoani arusha alikuja dada mmoja ofisini kuja kunisalimia maana tulisoma naye na ni rafiki yangu wa karibu sana. Kwenye hiyo ofisi bosi ni kiwembe balaa na tulikuwa tunajua kuwa ameathirika na ukimwi. Kila binti mrembo akiingia pale alikuwa anatongozwa na wengi waliingia mkenge. Siku hiyo akaingia huyo binti mrembo rafiki yangu na alipotoka tu nikaitwa ofisini na kukawa na maongezi ya kikazi lkn moyoni nilijua kuna la ziada maana namfahamu. Kweli mwisho wa mazungumzo akiniulizia yule binti nikamwambia ni rafiki yangu na kuhusu uhusiano nikajibu ni rafiki yangu pia. Akaniomba namba yake nikamwambia nitampa baada ya kuomba ruhusa. Nikamwambia binti na kumweleza nilivyobanwa huku na bosi,binti akasema we mpe,nikatekeleza! Ila jioni ila baada ya siku 2 tukaonana na yule binti nikamwambia kuwa pale sio salama na kwamba kumwambia vile sio kwamba namuona ni mwepesi la hasha bali kumtahadhalisha na binti akasema anajua jinsi ya kumuhendo na kwamba atakwama mwenyewe. Siku moja baada ya wiki 3 nipo kwenye hoteli moja ghafla macho yangu yakawa yanakataa kuamini kilicho mbele yangu na mara bosi naye anakutana na macho yangu na kunisalimu na kuniambia wapo hapo wanapumzika kidogo na binti yule yule rafiki yangu. Sasa sijui kamwambia bosi niliyomueleza au kaamua kunyamaza? Sijui ni tama au nini? Huyu binti kaingia cha kike maana wamekuja wengi wanalia hapa ofisini na nimefuta na namba yake!Sijui nilifanya kosa....anyway ngoja nisubiri wiki ianze nitaona mwelekeo utanipa majibu kama kaambiwa au la!!!!
mkuu umefanya jambo jema sana. kwa kujua kwako boss ni kiwembe na wadada wamekuwa wakilia inatosha kabisa kumuonya rafiki yako huhitaji kuwa dokta. usingefanya dhamira ingekusuta sana. achana na wanaokuponda, wanapost kwa kuigana.
 
Ulimshauri vizur Sawa, but
Sio vizur kumuongelea mtu vibay coz mwisho wa siku we ndo utaonekana
mbaya.. imagine kama boss wako kaambiwa hayo yote, utakuwa fungu gani au
ushajiandaa kuhama ofisi? Think big

bora kamwambia ukweli. nitamaa mm niliomba kazi nikapewa fursa na boss nichague popote ninapotaka kwenfda hata nje ya nchi. sikumtafta na kazi nimekosa na maisha yanasonga
 
Sijui ni tamaa au
ujinga au ndio style yake.

Ninafanya kazi Wizara fulani mkoani Arusha alikuja dada mmoja ofisini
kuja kunisalimia maana tulisoma naye na ni rafiki yangu wa karibu sana.

Kwenye hiyo ofisi bosi ni kiwembe balaa na tulikuwa tunajua kuwa
ameathirika na ukimwi. Kila binti mrembo akiingia pale alikuwa
anatongozwa na wengi waliingia mkenge. Siku hiyo akaingia huyo binti
mrembo rafiki yangu na alipotoka tu nikaitwa ofisini na kukawa na
maongezi ya kikazi lkn moyoni nilijua kuna la ziada maana namfahamu.

Kweli mwisho wa mazungumzo akiniulizia yule binti nikamwambia ni rafiki
yangu na kuhusu uhusiano nikajibu ni rafiki yangu pia. Akaniomba namba
yake nikamwambia nitampa baada ya kuomba ruhusa.

Nikamwambia binti na kumweleza nilivyobanwa huku na bosi,binti akasema
we mpe,nikatekeleza! Ila jioni ila baada ya siku 2 tukaonana na yule
binti nikamwambia kuwa pale sio salama na kwamba kumwambia vile sio
kwamba namuona ni mwepesi la hasha bali kumtahadhalisha na binti akasema
anajua jinsi ya kumuhendo na kwamba atakwama mwenyewe.

Siku moja baada ya wiki 3 nipo kwenye hoteli moja ghafla macho yangu
yakawa yanakataa kuamini kilicho mbele yangu na mara bosi naye anakutana
na macho yangu na kunisalimu na kuniambia wapo hapo wanapumzika kidogo
na binti yule yule rafiki yangu.

Sasa sijui kamwambia bosi niliyomueleza au kaamua kunyamaza?

Sijui ni tama au nini?

Huyu binti kaingia cha kike maana wamekuja wengi wanalia hapa ofisini
na nimefuta na namba yake.

Sijui nilifanya kosa anyway ngoja nisubiri wiki ianze nitaona mwelekeo
utanipa majibu kama kaambiwa au la.

mkuu ulifanya la maana akianza dose atakukumbuka. mm sitoi k kisa kazi.mm niliambia twende australia nimekataa na kazi kuishnei
 
mkuu umefanya jambo jema sana. kwa kujua kwako boss ni kiwembe na wadada wamekuwa wakilia inatosha kabisa kumuonya rafiki yako huhitaji kuwa dokta. usingefanya dhamira ingekusuta sana. achana na wanaokuponda, wanapost kwa kuigana.

Very nice talks
 
Ulitimiza sehemu yako.. Nae kacheza sehemu yake. Relax. Fainali uzeeni
^^
 
Ulimshauri vizur Sawa, but Sio vizur kumuongelea mtu vibay coz mwisho wa siku we ndo utaonekana mbaya.. imagine kama boss wako kaambiwa hayo yote, utakuwa fungu gani au ushajiandaa kuhama ofisi? Think big
kuonekana mbaya na kupata AIDs kipi bora?
 
Ulimshauri vizur Sawa, but Sio vizur kumuongelea mtu vibay coz mwisho wa siku we ndo utaonekana mbaya.. imagine kama boss wako kaambiwa hayo yote, utakuwa fungu gani au ushajiandaa kuhama ofisi? Think big
kuonekana mbaya na kupata AIDs kipi bora?
 
vizuri sana sema wanawake siyo watu kabisaa hawaaminiki ni kosa kubwa umetenda
 
Kwanza kabisa nimefurahishwa na ushauri uliompatia bidada lakini ikumbukwe hao ni viumbe dhaifu mapenzi yakinoga ataanza kusema oh baby, oh sweet eti wanakuzushia kuwa wewe ni mgonjwa je ni kweli?

Yawezekana dada uliyemshauri naye ni muathirika ndo maana kajiachia kwa raha zake, wacha virus wagongane then baada ya muda utakuja na feedback.
 
Back
Top Bottom